blackgold engineer
Senior Member
- Sep 8, 2013
- 107
- 70
Nauza kiwanja eneo la Bagamoyo Kiromo, sio mbali na Barabara kuu ya Dar Bagamoyo, kama mita 400 hivi kutoka barabarani,,ni uwanja ukubwa wa robo heka,bei ni milioni tano ...kwa mtu mwenye kutaka tafadhali tuwasiliane kwa namba 0712001067,,Ahsanteni..