Recent content by BlackBerry

  1. BlackBerry

    JamiiForums Tanzania Wanaume vijana 20's-35 wanaboa sana!

    Tatizo lao ujuaji mwingi, mtu utakuta anapump utadhani anakimbizwa, sababu yuko young na energy iko juu, anatumia miguvu kuliko maarifa,yaani dakika tatu mtu anataka style kumi khaaaa, na bado watu wazima watawabit sana tu, watu wazima wanachukua muda wao taratibu, hawana haraka, na asikwambie...
  2. BlackBerry

    JamiiForums Tanzania Habari njema kwa Vibonge!

    mbona mie nafanya diet napungua juu tu maty? kuna diet ya kupunguza mwili wote?
  3. BlackBerry

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli hujawahi kumsaliti mwenzi wako?

    Nimewahi, maisha yanasonga
  4. BlackBerry

    JamiiForums Tanzania Mapenzi machungu halafu matamu

    Mi namshangaa pia
  5. BlackBerry

    JamiiForums Tanzania Mapenzi machungu halafu matamu

    Sasa kwa nini anajilazimisha kuwa na mtu asiyempenda
  6. BlackBerry

    JamiiForums Tanzania Mapenzi machungu halafu matamu

    Sasa kwa nini anajilazimisha kuwa na mtu asiyempenda
  7. BlackBerry

    JamiiForums Tanzania Mapenzi machungu halafu matamu

    Kwani tukijadili hum kuna shida mkuu watu8
  8. BlackBerry

    JamiiForums Tanzania Mapenzi machungu halafu matamu

    Duh bonge la songi, yan hapa ndio napokupendeaga BAK
  9. BlackBerry

    JamiiForums Tanzania Kuuliza si ujinga: America gvt shut down

    Hii mi kwamba wameshindwa tu kukubaliana kwenye hoja ya healthy care kwa raia wao, kwenye bunge, na kule wakishindwa kukubaliana shughuli za kiserikali zinasimama mpaka wakipiga kura tena au wakikaa kwa maongezi na chama kingine wakakubaliana bac, inaendelea, kwa hiyo ofisi zote za kiserikali...
  10. BlackBerry

    JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu ameathirika,nipeni ushauri nifanyaje ?.

    hapo tena ndoa haitakuwa healthy tena kabisa
  11. BlackBerry

    JamiiForums Tanzania Mapenzi machungu halafu matamu

    Hivi mnadhani ni nini kinamrudisha diomond platnam kila wakati kwa wema?
  12. BlackBerry

    JamiiForums Tanzania Wanaume : Kwanini mnapenda kula bar?

    kama pale mori pale kuna pub wanakulaje kitimoto pale wakienda home matumbo juu
  13. BlackBerry

    JamiiForums Tanzania Msaada please...Ninampenda dada yangu(Mtoto wa mama yangu mdogo)

    Ina maana kweli hujui kwa mila za itanzania ni majanga hayo au unatusanif
  14. BlackBerry

    JamiiForums Tanzania Wasichana msikubali kunyanyaswa na wanaume kisa mapenzi never!

    Pole sana kuruhusu hilo, mi nawahigi mapemaaaaa
Back
Top Bottom