Recent content by Blackamoor

  1. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania TANZIA: Rais wa awamu ya tatu ya Kenya, Mwai Kibaki afariki dunia

    RIP
  2. B

    JamiiForums Tanzania Huyu Daktari wa meno anastahili Pongezi

    Nililipa dola 500 mwanzoni ( consultation + braces). Then nikawa nalipa kidogo kidogo kila ninapoenda for adjustments kila baada ya miezi 2. Mwisho unalipia retainers. Hiyo ilikuwa mwaka 2009 mpaka 2011. Niliwekewa pia crowns meno ya mbele maana yalivunjika zamani, so wakafanya root canal na...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Huyu Daktari wa meno anastahili Pongezi

  4. B

    JamiiForums Tanzania Zanzibar: Mwanaume afikishwa Mahakamani kwa kukata viuno hadharani

    Na kimini kavaa, daadek
  5. B

    JamiiForums Tanzania Huyu Daktari wa meno anastahili Pongezi

    Nikiwa mdogo nilikuwa naitwa minjino...ilikuwa experience mbaya sana, nilijichukia sana. Mwaka 2009 nikaamua kuweka braces baada ya kujichanga kwa muda kiasi. Niliambiwa na daktari chanzo cha meno yangu ya juu na ya chini kukaa vibaya ni kuwa nilikuwa nayasukuma nje kwa ulimi. Kabla ya...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Mrejesho: Kilichonipata Malta ni zaidi ya Ukraine, siku 18 za kufa na kupona

    Pole sana. Ila huko nje yanawapataga makubwa sana. Nina ndugu yangu alikutana na maswahiba Japan baada ya kujihusisha na biashara ya magari na wajapan toka kule kuleta nchini. Walianza na magari machache, yakaisha trip ya pili yakaongezeka zaidi biashara ikaenda vizuri , trip ya tatu mzigo...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Harufu sehemu za siri wakinadada tatizo ni nini?

    Kapime magonjwa ya zinaa ili kama kuna tatizo atibiwe na kupona
  8. B

    JamiiForums Tanzania Sioni Simba anatokea wapi leo. Kila nilipoangalia sijaona

    Ramli chonganishi zimebuma
  9. B

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Awamu ya 5 heshima iliyokuzwa ni ya uoga kwa sababu kulikuwa na Simba wa Yuda, ukimgusa sharubu anakurarua, hatukukua kivile

    Suala la kumfananisha mwendazake na Simba ya Yuda kwa kweli lina ukakasi
  10. B

    JamiiForums Tanzania TANZIA Profesa Honest Ngowi afariki dunia kwenye ajali Mlandizi Pwani. Alikuwa mhadhiri Chuo Kikuu Mzumbe

    😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
  11. B

    JamiiForums Tanzania Nimempeleka mtu polisi baada ya kuniibia, nashangaa kumuona uraiani akinitambia simuwezi

    Mtumie vibaka wamsaule huyo...n.y.a.m.b.a.f.u
Back
Top Bottom