Nimenyang'anywa Watoto wangu na moyo unaniuma maana nawataka sanaa

Bro, kuna mganga 1 wa kienyeji nilikutana naye Mwanza alinipeleka malaya 1 ambaye tulikutana katika harakati za maisha. Alipojua nina matatizo kadha wa kadha ndo akanipeleka huko. Yule babu alinipa kijiti nikakishika.....baadae akakichukua mwenyewe. Akaanza kunipa habari zangu na kunitabiria baadhi ya mambo.

Mojawapo ya jambo ni kuwa nina mtoto 1 wa kiume, japo mi mwenyewe simjui. Nilitafakari sana, ikanibidi nianze kuuliza uliza kwa watu wanaowajua x zangu by then wapo Dar. Ni kweli mmoja ana mtoto wa kiume.

Lakini sijawahi kumfatilia wala kumuulizia huyo mtoto. Imani yangu ilikuwa, kama nina uwezo wa kuzalisha, basi nitapata watoto wengine.
Sasa hivi nina mtoto. Lakini huyo kwanza anakaribia miaka 10 na sijui yuko wapi.
 
Wanaume mna roho ngumu sana mambwa nyie
 
Mnaotamani roho ngumu sana mambwa nyie
Dada mbona kama sijakuelewa.
MNAOTAMANI ROHO NGUMU SANA MAMBWA NYIE.......hii sentesi iko sawa?

Yaani X kapata mimba, hajawahi kuniambia, kazaa mtoto hajawahi kuniambia. Wakati mi nato....kuna mtu mwingine naye alikua anamtom....Mimi nitoke huko nianze kumfatilia anipe mtoto?
Huyo alikua na nia mtoto awe wangu? Pengine hata yeye hajui kama huyo ni mtoto wangu.
X mwenyewe kaolewa huko watajuana na mumewe. Mimi kosa langu liko wapi?
 
Achana na' KUOA'tangu 2012 unataka kuoa mpaka wa leo,naungana na wewe kusema USIOE huna bahati ya kuoa
Bahati ni nini?

Kwangu Mimi bahati ni "Fursa iliyokutana na maandalizi" kwahiyo kwa upande wangu "Yeyotee mwenye maandalizi basi ana bahati pale anapokutana na fursa"

Anyway...
Nimefanikiwa kupata watoto wangu wawili na watatu anakuja likizo.

Ipo siku nitaleta mrejesho.

#YNWA
 
Sipo kiroho sana ila swala lako linahitaji msaada kiroho

kuna roho zimekushikilia,kuna vifungo/kamba zinahitaji kukatwa na kuvunjwa vunjwa

you need help brother,unapambana na visivyoonekana wa macho si rahisi kama unavyofikiri

kubali kataa rudi nyuma jichunguze angalia ulipita wapi kisha safisha vunja vunja then Start A fresh

Unaishi ktk ulimwengu flani ambao sijui kama unaelewa lakini swala lako linamuhitaji MUNGU zaidi kuliko shauri zetu.
Zina vunjiwa msikitini na KISOMO au kanisani na FIREEEEEE?

#YNWA
 
Ama kweli za kuambiwa changanya na zako.
We unawashauri wenzio wasioe kumbe wewe mipango ya kuoa unayo.

Ama kweli sura si roho.
 
Ndo maana sipendagi kumwaga ndan kwa mwanamke nisie kua na malengo nae.

Aya Mateso ya nafsi anayopitia mtoa mada,

Ndio wanayapitia wanaume wengi Sana Kwenye jamii tunayoishi kila siku.

Sema tu mtoa mada kajitoa muhanga kuyaelezea.
sure brother.. it's true...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom