Tatizo mambo ya msingi yanaposemwa nyinyi mnayageuza kama propaaganda za kisiasa, uhai wa mtu una thamani kubwa kuliko vyeo vya kisiasa, so sio kitu cha kufanyia mzaha au mapuuza. Alichozungumza Gwajima ndo hali halisi ya tulipo sasa, uCCM au uCHADEMA una thamani gani kulinganisha na uhai wa...
Idadi ya ndoo za rangi utakazotumia katika nyumba yako inatemega vitu vifuatavyo
- Ukubwa wa eneo unalotaka kupiga rangi, hii hupimwa kwa square meter.
- Aina ya rangi unayotaka kupaka. Hapa unatakiwa ufahamu, rangi zipo za aina tofauti tofauti, na rangi hizi hutofautiana katika coverage wakati...
Kama unahitaji kufanya finishing za mjengo wako, basi kwa upande wa rangi, hakuna rangi bora kama za Silkcoat paint.
Hizi ni rangi za kituruki
-Hapa nazungumzia Stone au wengi wanapenda kuziita Drewa
Pia Decorative plaster hizi zipo za mifuko na ndoo, za ndoo zinaitwa Silkoterasit
kuna...
Ukristo haujawahi kuwa chimbuko la ushenzi na kwamwe hakutakuwa, bali waovu wanajivika vazi la ukristo na kutimiza wanayokusudia, ikumbukwe ukristo ni imani na si watu, hivyo yeyote anayemuamini Kristo na kufuata mafundisho yake huyo ndiye mkristo, ikiwa mtu anaenda kinyume na hayo huyo si...
Katakacho kufanya usitetereke na Imani ni Kufanya sana ibada, kusoma sana neno la Mungu na kuzidisha maombi kwa sababu ni lazima iwe hivyo ili imani zipimwe, hayo ndo majaribu ambayo inabidi ukeshe ukiomba usije ingia ndani yake.
Shetani anafanya kazi kubwa sana hasa hizi nyakati za mwisho.
Wadau habari za humu.
Naomba ufafanuzi katika hili,
Kuna mzigo nimetumiwa na ndugu kutoka UK kuja Tanzania na amelipia kila kitu kuhusu transport cost.
Sasa nimepigiwa simu na jamaa kutoka Kenya ananifahamisha kwamba huo mzigo upo Kenya ila natakiwa nitume pesa kiasi cha zaidi ya milioni...
Jamani wanajukwaa I hope mko poa, nauliza Kama kwa kipindi hiki cha mwezi wa saba mpaka wa nane, Kama ntaweza kupata ufuta wa kununua takribani Tani 1000
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.