Recent content by black X

  1. black X

    JamiiForums Tanzania KERO Mazingira ya Kituo cha Daladala cha Kivukoni upande wa Kigamboni hali sio nzuri

    Nimepita hapo muda si mrefu kwakweli panakera sana. Hapo inakubidi utembee kwa kuruka ruka kama spiderman
  2. black X

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Kuna baadhi ya course ndio tunasahau kabisa kuhusu utumishi
  3. black X

    JamiiForums Tanzania Umeshawahi kukutana na Boss mwenye tabia gani ya ajabu?

    Boss wangu alikua anatuweka vikao kila siku asubuhi ambavyo havina hata maana, matumizi mabaya ya pesa, kuhonga viongozi wa serikali kwa totoz ndo usiseme. Sasa hivi hana hata mia mbovu kafilisika vibaya yupo kijijini kwao. Nikimuona naweza nikampa hata 600 anywe pepsi
  4. black X

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Ukitoa laki 5 hata sasa inakubali kwa haraka?
  5. black X

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Ngoja niwasikilizie, kama vp ntaanza kutoa kidogo kidogo
  6. black X

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Ngoja tusubiri maana naona tumebaki sisi tu, wengi washapewa pesa zao 😃
  7. black X

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Vp ndugu umetoa? Na mimi nina case kama yako
  8. black X

    JamiiForums Tanzania Simuungi tena mkono Rais Samia kwa haya yanayoendelea na kadhia ya Mafuta

    Na huu uzi mwende mkautazame
  9. black X

    JamiiForums Tanzania Hivi inawezekana Mwanaume kuishi na Dada wa kazi nyumba moja?

    Inawezekana mkuu ila inahitaji moyo mgumu
  10. black X

    JamiiForums Tanzania TRA: Pikipiki (Bodaboda) kuanza kulipa Kodi ya Tsh. 65,000/- kwa mwaka

    wamezoea vya bure hakuna haja ya kulalamika kuna watu wana biashara ndogo kuliko hata bajaji na wanalipa kodi vizuri tu bila shida
  11. black X

    JamiiForums Tanzania TRA: Pikipiki (Bodaboda) kuanza kulipa Kodi ya Tsh. 65,000/- kwa mwaka

    kipindi kile Lema alivyosema boda boda sio kazi rasmi walikuja juu na kudai wanaingiza pesa nyingi kupitia boda boda na wengine wamejenga. kuna mwingine alisema anaingiza hata milioni kadhaa kwa mwezi. Sasa leo 65,000 kwa mwaka ni kubwa? 🤣🤣 boda boda bhana
  12. black X

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sex tips muhimu (si za kupuuza)

    wakimasikhara wanauangalia huu uzi wanatamani kutia japo neno
  13. black X

    JamiiForums Tanzania Jinsi vijana wanavyotengeneza pesa kila siku kwa kutengeza maudhui TikTok

    30k per challenge then ana boda boda, vifaa vya salon, simu kali, na vitu vingine 🤔 kuna mtu hapo kasema za kuambiwa changanya na zako. sawa mjomba
Back
Top Bottom