Recent content by Black Walker

  1. Black Walker

    Waliopaulia mabati ya Sunda, yanapauka baada ya muda gani? Hayavuji ?

    Kwa hizi bati za kawaida ni nzuri kiasi chake nimezitumia zimeanza mwaka wa tatu bado ziko vizuri japo ule mng'ao wake umefifia. Kama ni Sundar ukichukua gauge 30 chukua grade one sio grade two utanishukuru.
  2. Black Walker

    Tunaomba wakurugenzi waliopokea vibali vya uhamisho kwa wenza tangu mwishoni mwa December 2024 wawaachie na wao wapate fursa ya kuungana na familia

    Tunaomba wakurugenzi waliopokea vibali vya uhamisho kwa wenza tangu mwishoni mwa December 2024 na mwanzoni mwa January 2025 wawaachie na wao wapate fursa ya kuungana na familia zao. Inasikitisha sana kuona kwamba tuna viongozi ambao hawana huruma na watanzania wenzao. Suala la uhamisho kwa...
  3. Black Walker

    Msaada wa soft coppy ya kitabu cha "stop lying to yourself" by Simon Gilham.

    Wakuu! Habari za asubuhi? Naomba kwa yeyote mwenye soft copy ya kitabu tajwa hapo juu "stop lying to yourself" kilichoandikwa na Simon Gilham anisaidie. Natanguliza shukrani.
  4. Black Walker

    PreGE2025 Mbowe: Nimetoka mbali na Lissu, nilikuwa namlipia tiketi za ndege kwenda Tarime kuwatetea wachimbaji madini

    Unajua kuna vitu unaweza ukawa unavitoa au kuviongea watu ukawa unajichoresha bila wewe mwenyewe kuelewa kama unajichoresha. Kwa pamoja tutafakari mambo yafuatayo:- Kauli ya Mbowe siku Lisu anachukua fomu ya kwamba naona ndani ya chama kuna fahari hii ni uhalo ambao ulimtoka bila kipima uzito...
  5. Black Walker

    Hili suala la uhamisho kwa watumishi linashangaza sana!

    Nakushauri aandike upya aende kwa maboss zake watamshauri kulingana na tangazo, asibweteke.
  6. Black Walker

    Hili suala la uhamisho kwa watumishi linashangaza sana!

    H Hiyo ni huzuni kiongozi wangu wala sio kichekesho, ifike mahali tuwe wakali na kila uchao tupaze sauti juu hili suala, mbona wao wakihama wanahama na familia zao? Ujue ulioa uwe na familia bora sio vinginevyo. Binafsi mke wangu uhamisho wake unasomeka kwa katibu mkuu tangu June mwanzoni...
  7. Black Walker

    Hili suala la uhamisho kwa watumishi linashangaza sana!

    Yaani hapo kwenye approval ndo kuna changamoto kama hujui mkuu wangu, KATIBU MKUU anaweza kukaa nayo kwenye mfumo hata kwa mwaka mzima au zaidi bado uwajibikaji kwa viongozi wetu ni 0% kabisa hawajali watu wengine bali wao wenyewe hata tangazo hili usije kushangaa limekuja kimkakati kwani...
  8. Black Walker

    Hili suala la uhamisho kwa watumishi linashangaza sana!

    Nimeona tangazo la UTUMISHI kuhusu suala la uhamisho kwa wenza! Kiukweli inashangaza kuona tunaletewa drama na maisha yetu. Wapo watumishi wengi ambao maombi yao yako UTUMISHI AU TAMISEMI yakisubiria approval ya makatibu wakuu kwa muda mrefu. Je, hao nao waandike barua upya kwenda kwa...
  9. Black Walker

    DOKEZO Mfumo wa Mtandao kuomba uhamisho Serikalini ni tatizo, unatakiwa kuboreshwa

    Ni hujuma tu zinafanyika, mbona kwa wanafunzi wako faster kwa nini watumishi? Wanazingua sana! Yaani ni bora warudishe mfumo wa makaratasi basi. Huu ni unyanyasaji.
  10. Black Walker

    Msaada: Kwa Tsh. Milioni 26 naweza kujenga nyumba ya vyumba viwili nchini?

    Mimi sio fundi ila kwa uzoefu naona utafikia hatua nzuri na vitabakia vitu vichache sana. Kwa makadirio yasiyo rasmi ukiwa na hesabu hiyo utaweza:- Kuinua boma chukulia 6.5M Tofali 2400 Sementi 35 hadi 40 bags Mchanga tripu 2 za Mende Kokoto tripu moja tipa ya kawaida...
  11. Black Walker

    Msaada: Kwa Tsh. Milioni 26 naweza kujenga nyumba ya vyumba viwili nchini?

    Yaani ni balaa! Kuna jamaa alienda na fundi kununua nyaya za umeme alipigwa na kitu kizito nyaya zote 1.5 na 2.5 aliuziwa kwa bei linganifu 100,000/= na alichukua za kutosha mwisho wa siku akafanya uchunguzi kwenye maduka akagundua 1.5 ilikuwa inauzwa kwa range ya 50000/= hadi 55000/=. hapo...
  12. Black Walker

    Kuna tofauti gani kati ya Degree Holder aliye pita Diploma, na degree holder aliye pitia form 5 & 6 ( A level)?

    Hapana siku hizi mambo yako tofauti, mimi mdogo wangu ameenda diploma direct akiwa na div. ll ya point 20 combinations nyingi zikiwa zimekaa vizuri alipomaliza aliunganisha degree DUCE na bado anafanya vizuri sana hajawahi kupata GPA chini ya 4
  13. Black Walker

    Kama asingekosea kutaja jina langu, ningekuwa na hali gani sasa?

    Hahaha! Kuna mmoja nilimpiga marufuku ni rafiki yangu wa kawaida sio hawa Malaya, mkiwa kwenye tendo akiona unakolea anaanza kuleta pigo zake sizielewi. Utasikia eti Black Walker utaninunulia kitu fulani tena anakazia basi nimekuwa nikibaki kimya huku nikimuangalia usoni mwake anavyohangaika ila...
Back
Top Bottom