Recent content by Black Sniper

  1. Black Sniper

    JamiiForums Tanzania Makonda anakosea kutaka kujenga msikiti wa dola milioni 80-100 katika mji wa Kikristo Arusha

    Inawezekana ni wafadhili kutoka Uarabuni kama ilivyokuwa ya Magu na Mfalme wa Morocco Kama ni hivyo labda wao ndio wametaka kutoa msaada wa msikiti Nafikiri hili kama amewashirikisha na Bakwata na wamekubali basi ni kheri Ila labda ingekuwa vizuri zaidi kuwa na chuo hapo maana msikiti ni...
  2. Black Sniper

    JamiiForums Tanzania Je serikali imejiandaa vipi kwa vijana Gen z katika kusimama taifa 10 yrs later

    Vijana gani hawa ambao hata elimu nzuri hawapati ingawa nao wengi wamegoma kusoma kwa sababu hata akimaliza form six bado ni bogus tu Serikali inaona wakiwa boda na wengine kuokota machupa kama wehu ndio furaha yao ili waendelee kutawala Hakuna nia ya kuongeza ajira kila mwaka kwa sababu ya...
  3. Black Sniper

    JamiiForums Tanzania Je, hizi ni dalili za US kuitambua AFC/M23 kama mshirika?

    Utakuta wao US ndio wafadhili
  4. Black Sniper

    JamiiForums Tanzania Wazamiaji SGR Business Class tujuane!

    Nyie ndio mkipita kwenye ndege first class mnalala kwa kujipiga picha 🤣🤣
  5. Black Sniper

    JamiiForums Tanzania Mapya kifo cha dude

    Haswa, hata matajiri wakubwa wa Iraq enzi za vita walikuwa wanalimdwa na makomando wa USA kwa kulipwa hela ndefu sana Walikuwa wanaacha kazi na kwenda Baghdad kuwalinda wakiwemo mpaka wastaafu Ni kawaida sana kuwaajiri kama hela ipo
  6. Black Sniper

    JamiiForums Tanzania Kuna uwezekano wicknell chivayo kuwa mzima

    Wamepata fursa ya mwaka Hawataacha kitu
  7. Black Sniper

    JamiiForums Tanzania Kuna uwezekano wicknell chivayo kuwa mzima

    Mengi yatatoka mda si mrefu Maana hata matanga yapo kwa shangazi yake na sio kwake Kwake polisi wamezingira kuhofia wataiba sana Ila naona polisi ndio watapiga sana yale madolari
  8. Black Sniper

    JamiiForums Tanzania Gaidi aliyetaka kuangusha ndege ya flydubai ni mtu anayeswali muda wote!

    Gallaway ni kiboko yao Na mimi sina hata chembe ya Uarabu ila wapiga ramli ni wengi sana mpaka unaamua kusoma kila habari na sio moja tu
  9. Black Sniper

    JamiiForums Tanzania Kidini unaruhusiwa kumuoa mtoto wa nje ya ndoa - Sheikh Kulunge

    Hakuna sehemu kwenye kitabu kimeandikwa hiki unachosema kuwa imeruhusiwa kuoa mtoto wa nje Ndio maana nikakuambia soma sura Imeharamishwa kuoa mtoto wako Hilo tu
  10. Black Sniper

    JamiiForums Tanzania Kuna uwezekano wicknell chivayo kuwa mzima

    Ziliondoka chopper mbili kutoka kwake moja akiwemo Bonge na nyingine Chisi Nina wasiwasi tukio labda lilipangwa na Baada ya kuona jamaa kateketea wakarudi zao I’m not sure ila nimewaza tu
  11. Black Sniper

    JamiiForums Tanzania Kuna uwezekano wicknell chivayo kuwa mzima

    Kama kiatu alikuwa amekivua na kikaruka kabla ya mlipuko? Hukuwahi kusikia ajali ya ndege imeuwa kasoro Mtoto mmoja? Na ilikuwa angani ? Haya turudi kwa huyu jamaa Mbona kulikuwa na helicopter nyingine kwenye msafara na wakaongea kabla na Baada ya ajali ile helicopter ikaenda na kutua...
  12. Black Sniper

    JamiiForums Tanzania Gaidi aliyetaka kuangusha ndege ya flydubai ni mtu anayeswali muda wote!

    Msikilizeni George Galloway upande wake akisema mkasa huu Pilot wawili eti walikuwa mmoja Ukrainian na mwingine Mrusi ndio walisaidiana tena wakiwa wasafiri Kwenye ndege zingine hata Dr hakuna unaweza kufa ila kwa hawa Pilot wamo halafu maadui 🤣🤣
  13. Black Sniper

    JamiiForums Tanzania Kidini unaruhusiwa kumuoa mtoto wa nje ya ndoa - Sheikh Kulunge

    Aliesoma dini hawezi kuufuata
  14. Black Sniper

    JamiiForums Tanzania Kidini unaruhusiwa kumuoa mtoto wa nje ya ndoa - Sheikh Kulunge

    Soma Al Nisa itakupa jibu lako
  15. Black Sniper

    JamiiForums Tanzania Kidini unaruhusiwa kumuoa mtoto wa nje ya ndoa - Sheikh Kulunge

    Umewahi kuona alieoa mwanae Hilo haliwezekani kabisa Ila kama sijaelewa basi na Mungu anisamehe
Back
Top Bottom