Uzi mfupi tu.
Natafuta bodi la gari aina ya Toyota haisi superoof (dungu). Likiwa halina gearbox, injini wala diffu itapendeza zaidi. Kikubwa liwe halijakatika chasis/chasesi (vyovyote vile).
Likiwa maeneo ya mwanza, shinyanga, kahama, nzega itakuwa vyema zaidi. Mbarikiwe!
NB: muonekanokama hii...