Mkuu,,,mfanyakaz wa ndani ni kama mfanyakazi mwingine,,anaeajiriwa kwa mkataba na kulipwa kulingana na makubaliano yaliyokuepo,,,,ubaloz wa Tanzania Oman ndo Tanzania yenyewe,,na moja ya majukum yake ni kusimamia wananchi wake,,,siez ongelea report hii kukataliwa kusomwa maana sijui sababu haswa...