Ishara: Ukiona shimo wanaishi nyoka na panya jua Kuna uwepo wa madini

Hii dunia Ina maajabu Sana viumbe wake Wana uwezo wa Hali ya juu sana ya kutoa ishara.

Kwa mfano mnaenda wachimbaji Kama kumi huko porini mnaanza kuchimba Mara mnakutana na shimo dogo dogo ghafla anatoka panya akikimbia akifuatiwa na nyoka mwenye rangi za kuvutia Kama vile madini ya Rubi.

Nyoka huyo hamdhuru mtu na yeye anakimbia kuelekea kusikojulikana. baada ya muda kidogo Kama nusu saa hivi mmoja wenu wachimbaji ataanza kuugua na atafariki.

Baada ya hapo lile eneo ambalo nyoka na panya walikuwa pamoja mkichimba kidogo TU mtakutana na madini mengi Sana na mtakuwa tayari mmetajirika.
Nyoka wanakula panya, sasa watakaaje shimo moja?

Hizo ni story za watu kwa kuwa wanajua hutakutana na nyoka na panya shimo moja!
 
Sasa huyo atakaekubali kufa ili wenzie wachimbe wapate madini ni nani, hapo mkiona ametoka panya anakimbia akifuatiwa na nyoka basi na nyie waunganishieni mkimbie, unadhani nani anaekubali kutangulia kiwepesi namna hyo
Air HOSTAGE
Aka zako nazifuatilia.Leo umeicha kabatini komandoo kinje hadi "air HOSTAGE"? Hahahahahaaa
 
Hii dunia Ina maajabu Sana viumbe wake Wana uwezo wa Hali ya juu sana ya kutoa ishara.

Kwa mfano mnaenda wachimbaji Kama kumi huko porini mnaanza kuchimba Mara mnakutana na shimo dogo dogo ghafla anatoka panya akikimbia akifuatiwa na nyoka mwenye rangi za kuvutia Kama vile madini ya Rubi.

Nyoka huyo hamdhuru mtu na yeye anakimbia kuelekea kusikojulikana. baada ya muda kidogo Kama nusu saa hivi mmoja wenu wachimbaji ataanza kuugua na atafariki.

Baada ya hapo lile eneo ambalo nyoka na panya walikuwa pamoja mkichimba kidogo TU mtakutana na madini mengi Sana na mtakuwa tayari mmetajirika.

Kinachomfanya yule wa kwanza afe ni nini?
Je wakichimba wote kwa pamoja inakuwaje?
 
Hii dunia Ina maajabu Sana viumbe wake Wana uwezo wa Hali ya juu sana ya kutoa ishara.

Kwa mfano mnaenda wachimbaji Kama kumi huko porini mnaanza kuchimba Mara mnakutana na shimo dogo dogo ghafla anatoka panya akikimbia akifuatiwa na nyoka mwenye rangi za kuvutia Kama vile madini ya Rubi.

Nyoka huyo hamdhuru mtu na yeye anakimbia kuelekea kusikojulikana. baada ya muda kidogo Kama nusu saa hivi mmoja wenu wachimbaji ataanza kuugua na atafariki.

Baada ya hapo lile eneo ambalo nyoka na panya walikuwa pamoja mkichimba kidogo TU mtakutana na madini mengi Sana na mtakuwa tayari mmetajirika.
Hili fumbo kubwa sanaa ,wachache wanaelewaa

ukweli daima uongo mwiko
 
Hadith za rupia hizo au shilingi ya mwaka 1975 inatafutwa utakua tajiri Bongo shida sana,
 
Hii dunia Ina maajabu Sana viumbe wake Wana uwezo wa Hali ya juu sana ya kutoa ishara.

Kwa mfano mnaenda wachimbaji Kama kumi huko porini mnaanza kuchimba Mara mnakutana na shimo dogo dogo ghafla anatoka panya akikimbia akifuatiwa na nyoka mwenye rangi za kuvutia Kama vile madini ya Rubi.

Nyoka huyo hamdhuru mtu na yeye anakimbia kuelekea kusikojulikana. baada ya muda kidogo Kama nusu saa hivi mmoja wenu wachimbaji ataanza kuugua na atafariki.

Baada ya hapo lile eneo ambalo nyoka na panya walikuwa pamoja mkichimba kidogo TU mtakutana na madini mengi Sana na mtakuwa tayari mmetajirika.
Labda kama umeandika kama kichekesho, au ulidhamiria kupost siku ile ya Wajinga.

Huu ni ujinga wa kiwango cha juu sana.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom