wopage isa mguu isa mkwe sikudenya. museams zipo kwaajili ya kujifunza historia za makabila mbalimbali. mkuu yeriko nenda kalenga afu uje uedit upotoshaji wako unaotaka kuufanya kwa wana JF.
karibu kalenga Iringa ufungue ubongo juu ya historia ya wahehe mtwa kilonge, mtwa munyigumba, akina mkwavinyika (mkwawa) na wengineo. na biashara zao kuu zilikuwa zipi. utakutana na myalukolo halisi gerald. Achana na vitabu na simulizi za ambao hawajawahi fika hata kalenga yenyewe!
kuna watu watakuwa wanataman hata wakifia vijijini kwao mikoani, maiti zao ziende lugalo na warudishwe tena vijijini kwao. Apart from uchunguzi n security C.V watu wanapenda sana.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.