Mkwawa hakujipiga risasi kama wajerumani walivyotusimulia, bali aliliwa na simba..

Fundishen vijana kutafta pesa. Wapen vijana elimu ya pesa iwasaidie kutatua changamoto zao za kila siku.
Hizo historia zenu zinawasaidia nn masikini ambao hata pesa ya kula ni changamoto??
Tatizo lako unaichukulia elimu kama NJIA YA KUPATA PESA kitu ambacho sio sahihi.
Lengo la elimu sio kumsaidia mtu apate pesa ndio maana dunia nzima hakuna topic wala somo linaloitwa utajiri au namna ya kupata pesa.
Kupata pesa ni independent skill ambayo mtu ataifunza kwa kutumia real world experience na haijalishi amesoma formal schooling au hajasoma.
Akili zenu watanzania ni kuelekeza lawama za umasikini sehemu isiyo sahihi.
1.Kuna watu wamesoma na wana hela ya kutosha na kuna waliosoma lakini hawana hela.
2.Kuna watu hawakusoma kabisa au hawakusoma kwa kiwango kikubwa na wana hela na wapo ambao hawana hela.

Kama hizo sentensi mbili ni sahihi basi HAKUNA UHUSIANO WA MOJA KWA MOJA kati ya kusoma na kuwa na hela.

Halafu pia UJASILIAMALI na Biashara sio vitu ambavyo kila mwanajamii anapaswa kuvifanya.
Matajiri wengi huwa ni zao la mchanganyiko wa Ujasiriamali,Biashara,Ubunifu.
Maana yake wewe unataka ili kitu kimake sense kwenye elimi ni lazima kifundishe hivyo vitu sio?
Acha ujinga!
 
Fundishen vijana kutafta pesa. Wapen vijana elimu ya pesa iwasaidie kutatua changamoto zao za kila siku.
Hizo historia zenu zinawasaidia nn masikini ambao hata pesa ya kula ni changamoto??
YE PIA ANATAFTA PESA KWA MTINDO HUU WA KUCOPY NA KUPASTE
 
Binafsi nimejipa utaratibu kuwa vitabu vinavyohusu uafrika na waafri sitavitilia mkazo sana vile vilivyoandikwa na wazungu bali vilivyoandikwa na Waafrika wenyewe! Mfano ukisoma historia ya Mkwawa iliyoandikwa na wazungu wanasema mkwawa alijiua kwakujipiga risasi,

Ukweli wa historia ya kiafrika wazungu waliona aibu kusema walimshindwa Mkwawa, Mkwawa hakujiua bali aliwatoroka wazungu na kuelekea Songea ambapo alifia milima ya Lukumbulu kwakuliwa na Simba baada ya kuugua akiwa milimani peke yake.

Ni rahisi sana Vijana wa leo kuwadharau wazee wanaokutana nao barabarani na kuwaona watu wasio na Elimu wakiaminishwa kuwa elimu ilianzia magharibi, Cha ajabu Ahmed Baba (1556-1627) karne ya 16 aliandika vitabu 60.Ni mingoni mwa wasomi wa Phd katika ufalme wa Mali.

Ni vizuri watu tuyasake maarifa kwakutumia maarifa, na kwakutokujua historia yetu Waafrika tumelidhika Bara letu la Afrika na yale machache tunayoyafahmu, tukidhani wazungu ndio wasomi wa mwanzo duniani kumbe wapo waliofanya mapinduzi makubwa katika Africa,ila wamefichwa na historia za kigeni zinazofundishwa mashuleni.

Ukisoma leo historia ya Tanganyika ni aibu, inaanza na Nyerere na kuishia na Nyerere jambo ambalo ni uogo mkubwa......Pamoja na kwamba 1927 Gavana Sir David Cameron kupiga marufuku mtu mweusi kukanyaga mjini (posta ya leo) hasa kwenye sherehe za wazungu ambazo zilikuwa maranyingi zinafanyikia ukumbi wao pale makao makuu ya NBC leo,

Gavana huyu aliwaundia chama cha kuratibu sherehe za weusi huko pembeni ya mji huko mtaa wa Stanley (leo Lumumba) na kuwapa ofisi mahali leo wanapojiita TANU ilizaliwa. Lakini historia ya Tanganyika haiwataji waasisi wa AA, Rais wa kwanza Mwalimu Cesil Matola (msomi wa mwanzo kabisa enzi za mjerumani kutoka kabila la Wayao), katibu mkuu wa kwanza Klest Sykes (Mzulu mateka wa vita vya kwanza vya dunia toka Afrika Kusini), Mwekahazina Ali Ramadhan (mzaramo na mvuvi maarufu wa pwani la Azania).

Hao ndio mwaka 1927 waliounda Chama cha kwanza kabisa cha kutetea maslahi ya weusi Tanganyika na shughuli zake zilikuwa ni kuratibu sherehe za waafrika tu. (Chama cha walevi kwa lugha nyingine). Mwaka 1933 Mwalimu Cesil Matola alifariki na nafasi yake ikakaimiwa na katibu mkuu wa chama hicho bwana Klest, mpaka ilipofika mwaka 1948 yakatokea mapinduzi yaliyoongozwa na mtoto wa Klest aliyeitwa Abdulwahid Sykes huyu alikuwa ametoka kupigana vita vya pili vya dunia, na aliporudi alikuwa na mawazo ya ujana toka vitani, akampindua baba yake kwa kumpiga ngumi puani. Kisha AA ikabadilishwa jina na kuitwa TAA, Rais wake wa Kwanza akawa Dr Vedasto Kyaruzi (Mhaya)huyu ndie dakitari wa binadamu wa kwanza kabisa wa kiafrika Tanganyika, Katibu mkuu akawa Abdulwahid Sykes na Mweka hazina akawa Dosa Azizi, utawala huo ulienda mpaka mwaka 1953 uchaguzi ulipofanyika pale ukumbi wa Anautoglo Mnazimmoja Dar es Salaam na Julius Nyerere akashinda kwa kishindi dhidi ya mpinzani wake Adulwahid Sykes. Mwaka 1954 Nyerere akabadili jina la chama na kuwa TANU iliyokwenda mpaka mwaka 1977 na kisha kikazaliwa chama kiitwacho CCM ambacho kinalitafuna taifa leo..

Hili ndio chimbuko la AA, TAA, TANU na hii CCM.

Kwa undani zaidi soma kitabu cha ujasusi wa Kidola na Kiuchumi, kwa ofa ya mwezi mtukufu

Ofa ni 50,000 tu, nunua kwa 0715865544 au 0755865544 kisha tuma majina yako na mahali ulipo. Nakulete bureeeee

View attachment 1098791
Kitabu hiko kinapatikana Ibn Hazm Bookshop, karibu na msikiti wa Mtoro (DSM)
 
karibu kalenga Iringa ufungue ubongo juu ya historia ya wahehe mtwa kilonge, mtwa munyigumba, akina mkwavinyika (mkwawa) na wengineo. na biashara zao kuu zilikuwa zipi. utakutana na myalukolo halisi gerald. Achana na vitabu na simulizi za ambao hawajawahi fika hata kalenga yenyewe!
 
wopage isa mguu isa mkwe sikudenya. museams zipo kwaajili ya kujifunza historia za makabila mbalimbali. mkuu yeriko nenda kalenga afu uje uedit upotoshaji wako unaotaka kuufanya kwa wana JF.
 
Fundishen vijana kutafta pesa. Wapen vijana elimu ya pesa iwasaidie kutatua changamoto zao za kila siku.
Hizo historia zenu zinawasaidia nn masikini ambao hata pesa ya kula ni changamoto??
Wewe mbona hujasoma bandiko la pesa badala yake umekuja hukuhuku?
 
Nimekuja kutoa ushauri. Ushauri wangu usingefaa kitu kama ningeitoa kwenye bandiko la pesa.
Hapa ndo mahali stahiki kufikisha ushauri wangu.
Umeelewa??
 
Binafsi nimejipa utaratibu kuwa vitabu vinavyohusu uafrika na waafri sitavitilia mkazo sana vile vilivyoandikwa na wazungu bali vilivyoandikwa na Waafrika wenyewe! Mfano ukisoma historia ya Mkwawa iliyoandikwa na wazungu wanasema mkwawa alijiua kwakujipiga risasi,

Ukweli wa historia ya kiafrika wazungu waliona aibu kusema walimshindwa Mkwawa, Mkwawa hakujiua bali aliwatoroka wazungu na kuelekea Songea ambapo alifia milima ya Lukumbulu kwakuliwa na Simba baada ya kuugua akiwa milimani peke yake.

Ni rahisi sana Vijana wa leo kuwadharau wazee wanaokutana nao barabarani na kuwaona watu wasio na Elimu wakiaminishwa kuwa elimu ilianzia magharibi, Cha ajabu Ahmed Baba (1556-1627) karne ya 16 aliandika vitabu 60.Ni mingoni mwa wasomi wa Phd katika ufalme wa Mali.

Ni vizuri watu tuyasake maarifa kwakutumia maarifa, na kwakutokujua historia yetu Waafrika tumelidhika Bara letu la Afrika na yale machache tunayoyafahmu, tukidhani wazungu ndio wasomi wa mwanzo duniani kumbe wapo waliofanya mapinduzi makubwa katika Africa,ila wamefichwa na historia za kigeni zinazofundishwa mashuleni.

Ukisoma leo historia ya Tanganyika ni aibu, inaanza na Nyerere na kuishia na Nyerere jambo ambalo ni uogo mkubwa......Pamoja na kwamba 1927 Gavana Sir David Cameron kupiga marufuku mtu mweusi kukanyaga mjini (posta ya leo) hasa kwenye sherehe za wazungu ambazo zilikuwa maranyingi zinafanyikia ukumbi wao pale makao makuu ya NBC leo,

Gavana huyu aliwaundia chama cha kuratibu sherehe za weusi huko pembeni ya mji huko mtaa wa Stanley (leo Lumumba) na kuwapa ofisi mahali leo wanapojiita TANU ilizaliwa. Lakini historia ya Tanganyika haiwataji waasisi wa AA, Rais wa kwanza Mwalimu Cesil Matola (msomi wa mwanzo kabisa enzi za mjerumani kutoka kabila la Wayao), katibu mkuu wa kwanza Klest Sykes (Mzulu mateka wa vita vya kwanza vya dunia toka Afrika Kusini), Mwekahazina Ali Ramadhan (mzaramo na mvuvi maarufu wa pwani la Azania).

Hao ndio mwaka 1927 waliounda Chama cha kwanza kabisa cha kutetea maslahi ya weusi Tanganyika na shughuli zake zilikuwa ni kuratibu sherehe za waafrika tu. (Chama cha walevi kwa lugha nyingine). Mwaka 1933 Mwalimu Cesil Matola alifariki na nafasi yake ikakaimiwa na katibu mkuu wa chama hicho bwana Klest, mpaka ilipofika mwaka 1948 yakatokea mapinduzi yaliyoongozwa na mtoto wa Klest aliyeitwa Abdulwahid Sykes huyu alikuwa ametoka kupigana vita vya pili vya dunia, na aliporudi alikuwa na mawazo ya ujana toka vitani, akampindua baba yake kwa kumpiga ngumi puani. Kisha AA ikabadilishwa jina na kuitwa TAA, Rais wake wa Kwanza akawa Dr Vedasto Kyaruzi (Mhaya)huyu ndie dakitari wa binadamu wa kwanza kabisa wa kiafrika Tanganyika, Katibu mkuu akawa Abdulwahid Sykes na Mweka hazina akawa Dosa Azizi, utawala huo ulienda mpaka mwaka 1953 uchaguzi ulipofanyika pale ukumbi wa Anautoglo Mnazimmoja Dar es Salaam na Julius Nyerere akashinda kwa kishindi dhidi ya mpinzani wake Adulwahid Sykes. Mwaka 1954 Nyerere akabadili jina la chama na kuwa TANU iliyokwenda mpaka mwaka 1977 na kisha kikazaliwa chama kiitwacho CCM ambacho kinalitafuna taifa leo..

Hili ndio chimbuko la AA, TAA, TANU na hii CCM.

Kwa undani zaidi soma kitabu cha ujasusi wa Kidola na Kiuchumi, kwa ofa ya mwezi mtukufu

Ofa ni 50,000 tu, nunua kwa 0715865544 au 0755865544 kisha tuma majina yako na mahali ulipo. Nakulete bureeeee

View attachment 1098791
Kwahiyo Wazungu waongo tukuamini wewe Mwafrica alaa
 
King Kong III leo umelikoroga. Ni wapi kwenye research wamesema mtu wa kwanza alikuwa nyani. Kwenye documentary zote ukiangalia wanakuelezea kuwa chimbuko la binadamu ni Africa na wanaelezea evolution ilivyofanyika. Tuwe tunaongea kwa data bila kuwa biased.

Fuvu la Mkwawa lenyewe waliolichukua waligundua tundu linaloonyesha ni la gobole. Kama mtoa mada ana prove nyingine atoe na picha ili tusadiki. Angeliwa na simba wasingekuta na hilo fuvu.
Soma Evolution of Human Being utaona hiyo ya binadamu alianzia kuwa nyani/Sokwe.
1100329
 
Kaka wala siyo washenzi,ukilala unalaliwa,
Ni kanuni inayotumika karibu ktk kila kitu kila sehemu,
Sisi tumelala kaka acha tulaliwe tu,
Sasa km hata wanaotuamsha mnawaita majina mabaya,mnawapiga risasi,mnawateka,mnawanagua nk we unadhani nini kinatengenezwa km siyo usingizi zaidi,
Usilaumu wazungu angalia tu hata mfumo kandamizi wa serikali zetu,watoto mashuleni wanajifunza nini km siyo kuwaandaa kuwa kizazi cha kujikomba,
Tutaamkaje sasa,
Acha tulaliwe,maana waafrika wenzetu wanatupiga ngwara tulaliwe vizuri
Inasikitisha sana Mkuu.
 
Binafsi nimejipa utaratibu kuwa vitabu vinavyohusu uafrika na waafri sitavitilia mkazo sana vile vilivyoandikwa na wazungu bali vilivyoandikwa na Waafrika wenyewe! Mfano ukisoma historia ya Mkwawa iliyoandikwa na wazungu wanasema mkwawa alijiua kwakujipiga risasi,

Ukweli wa historia ya kiafrika wazungu waliona aibu kusema walimshindwa Mkwawa, Mkwawa hakujiua bali aliwatoroka wazungu na kuelekea Songea ambapo alifia milima ya Lukumbulu kwakuliwa na Simba baada ya kuugua akiwa milimani peke yake.

Ni rahisi sana Vijana wa leo kuwadharau wazee wanaokutana nao barabarani na kuwaona watu wasio na Elimu wakiaminishwa kuwa elimu ilianzia magharibi, Cha ajabu Ahmed Baba (1556-1627) karne ya 16 aliandika vitabu 60.Ni mingoni mwa wasomi wa Phd katika ufalme wa Mali.

Ni vizuri watu tuyasake maarifa kwakutumia maarifa, na kwakutokujua historia yetu Waafrika tumelidhika Bara letu la Afrika na yale machache tunayoyafahmu, tukidhani wazungu ndio wasomi wa mwanzo duniani kumbe wapo waliofanya mapinduzi makubwa katika Africa,ila wamefichwa na historia za kigeni zinazofundishwa mashuleni.

Ukisoma leo historia ya Tanganyika ni aibu, inaanza na Nyerere na kuishia na Nyerere jambo ambalo ni uogo mkubwa......Pamoja na kwamba 1927 Gavana Sir David Cameron kupiga marufuku mtu mweusi kukanyaga mjini (posta ya leo) hasa kwenye sherehe za wazungu ambazo zilikuwa maranyingi zinafanyikia ukumbi wao pale makao makuu ya NBC leo,

Gavana huyu aliwaundia chama cha kuratibu sherehe za weusi huko pembeni ya mji huko mtaa wa Stanley (leo Lumumba) na kuwapa ofisi mahali leo wanapojiita TANU ilizaliwa. Lakini historia ya Tanganyika haiwataji waasisi wa AA, Rais wa kwanza Mwalimu Cesil Matola (msomi wa mwanzo kabisa enzi za mjerumani kutoka kabila la Wayao), katibu mkuu wa kwanza Klest Sykes (Mzulu mateka wa vita vya kwanza vya dunia toka Afrika Kusini), Mwekahazina Ali Ramadhan (mzaramo na mvuvi maarufu wa pwani la Azania).

Hao ndio mwaka 1927 waliounda Chama cha kwanza kabisa cha kutetea maslahi ya weusi Tanganyika na shughuli zake zilikuwa ni kuratibu sherehe za waafrika tu. (Chama cha walevi kwa lugha nyingine). Mwaka 1933 Mwalimu Cesil Matola alifariki na nafasi yake ikakaimiwa na katibu mkuu wa chama hicho bwana Klest, mpaka ilipofika mwaka 1948 yakatokea mapinduzi yaliyoongozwa na mtoto wa Klest aliyeitwa Abdulwahid Sykes huyu alikuwa ametoka kupigana vita vya pili vya dunia, na aliporudi alikuwa na mawazo ya ujana toka vitani, akampindua baba yake kwa kumpiga ngumi puani. Kisha AA ikabadilishwa jina na kuitwa TAA, Rais wake wa Kwanza akawa Dr Vedasto Kyaruzi (Mhaya)huyu ndie dakitari wa binadamu wa kwanza kabisa wa kiafrika Tanganyika, Katibu mkuu akawa Abdulwahid Sykes na Mweka hazina akawa Dosa Azizi, utawala huo ulienda mpaka mwaka 1953 uchaguzi ulipofanyika pale ukumbi wa Anautoglo Mnazimmoja Dar es Salaam na Julius Nyerere akashinda kwa kishindi dhidi ya mpinzani wake Adulwahid Sykes. Mwaka 1954 Nyerere akabadili jina la chama na kuwa TANU iliyokwenda mpaka mwaka 1977 na kisha kikazaliwa chama kiitwacho CCM ambacho kinalitafuna taifa leo..

Hili ndio chimbuko la AA, TAA, TANU na hii CCM.

Kwa undani zaidi soma kitabu cha ujasusi wa Kidola na Kiuchumi, kwa ofa ya mwezi mtukufu

Ofa ni 50,000 tu, nunua kwa 0715865544 au 0755865544 kisha tuma majina yako na mahali ulipo. Nakulete bureeeee

View attachment 1098791
mwaka (1556-1627) karne ya 16 kulikuwa na watu wana PHD?
 
Binafsi nimejipa utaratibu kuwa vitabu vinavyohusu uafrika na waafri sitavitilia mkazo sana vile vilivyoandikwa na wazungu bali vilivyoandikwa na Waafrika wenyewe! Mfano ukisoma historia ya Mkwawa iliyoandikwa na wazungu wanasema mkwawa alijiua kwakujipiga risasi,

Ukweli wa historia ya kiafrika wazungu waliona aibu kusema walimshindwa Mkwawa, Mkwawa hakujiua bali aliwatoroka wazungu na kuelekea Songea ambapo alifia milima ya Lukumbulu kwakuliwa na Simba baada ya kuugua akiwa milimani peke yake.
Hapa unaleta mambo ya ajabu, tena bila kutupa chanzo chochote kwa hadithi yako.
Mkwawa kufa Songea??
Basi nenda Kalenga / Iringa, ingia katika nyumba ambako Wahehe wanatunza fuvu la Mkwawa lililorudishwa kutoka Ujerumani. Waeleze kwamba historia yao si kweli na wewe unaleta sasa ukweli.

Nakutakia mafanikio mema!
 
Binafsi nimejipa utaratibu kuwa vitabu vinavyohusu uafrika na waafri sitavitilia mkazo sana vile vilivyoandikwa na wazungu bali vilivyoandikwa na Waafrika wenyewe! Mfano ukisoma historia ya Mkwawa iliyoandikwa na wazungu wanasema mkwawa alijiua kwakujipiga risasi,

Ukweli wa historia ya kiafrika wazungu waliona aibu kusema walimshindwa Mkwawa, Mkwawa hakujiua bali aliwatoroka wazungu na kuelekea Songea ambapo alifia milima ya Lukumbulu kwakuliwa na Simba baada ya kuugua akiwa milimani peke yake.

Ni rahisi sana Vijana wa leo kuwadharau wazee wanaokutana nao barabarani na kuwaona watu wasio na Elimu wakiaminishwa kuwa elimu ilianzia magharibi, Cha ajabu Ahmed Baba (1556-1627) karne ya 16 aliandika vitabu 60.Ni mingoni mwa wasomi wa Phd katika ufalme wa Mali.

Ni vizuri watu tuyasake maarifa kwakutumia maarifa, na kwakutokujua historia yetu Waafrika tumelidhika Bara letu la Afrika na yale machache tunayoyafahmu, tukidhani wazungu ndio wasomi wa mwanzo duniani kumbe wapo waliofanya mapinduzi makubwa katika Africa,ila wamefichwa na historia za kigeni zinazofundishwa mashuleni.

Ukisoma leo historia ya Tanganyika ni aibu, inaanza na Nyerere na kuishia na Nyerere jambo ambalo ni uogo mkubwa......Pamoja na kwamba 1927 Gavana Sir David Cameron kupiga marufuku mtu mweusi kukanyaga mjini (posta ya leo) hasa kwenye sherehe za wazungu ambazo zilikuwa maranyingi zinafanyikia ukumbi wao pale makao makuu ya NBC leo,

Gavana huyu aliwaundia chama cha kuratibu sherehe za weusi huko pembeni ya mji huko mtaa wa Stanley (leo Lumumba) na kuwapa ofisi mahali leo wanapojiita TANU ilizaliwa. Lakini historia ya Tanganyika haiwataji waasisi wa AA, Rais wa kwanza Mwalimu Cesil Matola (msomi wa mwanzo kabisa enzi za mjerumani kutoka kabila la Wayao), katibu mkuu wa kwanza Klest Sykes (Mzulu mateka wa vita vya kwanza vya dunia toka Afrika Kusini), Mwekahazina Ali Ramadhan (mzaramo na mvuvi maarufu wa pwani la Azania).

Hao ndio mwaka 1927 waliounda Chama cha kwanza kabisa cha kutetea maslahi ya weusi Tanganyika na shughuli zake zilikuwa ni kuratibu sherehe za waafrika tu. (Chama cha walevi kwa lugha nyingine). Mwaka 1933 Mwalimu Cesil Matola alifariki na nafasi yake ikakaimiwa na katibu mkuu wa chama hicho bwana Klest, mpaka ilipofika mwaka 1948 yakatokea mapinduzi yaliyoongozwa na mtoto wa Klest aliyeitwa Abdulwahid Sykes huyu alikuwa ametoka kupigana vita vya pili vya dunia, na aliporudi alikuwa na mawazo ya ujana toka vitani, akampindua baba yake kwa kumpiga ngumi puani. Kisha AA ikabadilishwa jina na kuitwa TAA, Rais wake wa Kwanza akawa Dr Vedasto Kyaruzi (Mhaya)huyu ndie dakitari wa binadamu wa kwanza kabisa wa kiafrika Tanganyika, Katibu mkuu akawa Abdulwahid Sykes na Mweka hazina akawa Dosa Azizi, utawala huo ulienda mpaka mwaka 1953 uchaguzi ulipofanyika pale ukumbi wa Anautoglo Mnazimmoja Dar es Salaam na Julius Nyerere akashinda kwa kishindi dhidi ya mpinzani wake Adulwahid Sykes. Mwaka 1954 Nyerere akabadili jina la chama na kuwa TANU iliyokwenda mpaka mwaka 1977 na kisha kikazaliwa chama kiitwacho CCM ambacho kinalitafuna taifa leo..

Hili ndio chimbuko la AA, TAA, TANU na hii CCM.

Kwa undani zaidi soma kitabu cha ujasusi wa Kidola na Kiuchumi, kwa ofa ya mwezi mtukufu

Ofa ni 50,000 tu, nunua kwa 0715865544 au 0755865544 kisha tuma majina yako na mahali ulipo. Nakulete bureeeee

View attachment 1098791
chadema utaajua tu...hao wapinzani wa leo si ndio hao hao walitokea ccm unayoiponda? Kwa sasa ccm kumenoga, ngoja nikahuishe kadi yangu!
nirudi kwa mkwawa...bado akili hainipi kabiasa..mkwawa alikufa kwa kuliwa na simba akiwa peke yake kwenye milimani songea!."milima ya Lukumbulu kwakuliwa na Simba baada ya kuugua aiwa milimani peke yake. "...sasa kama aliliwa na simba akiwa peke yake nali alileta taarifa hiyo kama hukuwepo wakati mgonjwa akifanywa kitoweyo? Nenda tena ukatuletee 'version' nyingine bana!
 
Back
Top Bottom