Recent content by Black Mirror

  1. Black Mirror

    JamiiForums Tanzania Barabara zote ni za serikali, polisi wanaweza kukuzuia kuweka gari lako barabarani!

    Umeendika ukweli mtupu! Lakini Kutokana na manyanyaso ambayo vyombo vya ulinzi na usalama vimekuwa vikiyafanya kwa Watanzania kwa muda mrefu Watanzania sasa wanamakovu na majeraha makubwa sana, hivyo hata polisi akiwa kwenye haki bado Watanzania wataona askari huyo ni mkorofi tu. Kwa bahati...
  2. Black Mirror

    JamiiForums Tanzania Kiti kung'ang'aniwa 2030

    Kupotea kwa POLEPOLE kunaniumiza kwani yeye ni binadamu kama mimi anayo haki ya kuishi kwa uhuru kama wengine, lakini kwa upande mwingine wa shilingi naamini linapaswa kuwa somo... Kipindi cha Magufuli POLEPOLE alikuwa kama Maliyamungu wa Uganda kipindi cha Idd Amin, yaani nikikumbuka nasema...
  3. Black Mirror

    JamiiForums Tanzania Kiti kung'ang'aniwa 2030

    Acha uongo JPM ndiye mwenyewe alipenda sana mambo haya.... Kuna siku alikuwa Anazindua miradi akajisemea eti.... Hivi siku sipo hii miradi nani ataiendeleza?.... Magufuli ndiye rais wa kwanza kutengeneza hali ya kuabudiwa, Magufuli ndiye muasisi wa kuhitaji kuongezewa muda! Magufuli ndiye...
  4. Black Mirror

    JamiiForums Tanzania Kiti kung'ang'aniwa 2030

    Acha uongo JPM ndiye mwenyewe alipenda sana mambo haya.... Kuna siku alikuwa Anazindua miradi akajisemea eti.... Hivi siku sipo hii miradi nani ataiendeleza?.... Magufuli ndiye rais wa kwanza kutengeneza hali ya kuabudiwa, Magufuli ndiye muasisi wa kuhitaji kuongezewa muda! Magufuli ndiye...
  5. Black Mirror

    JamiiForums Tanzania Kiti kung'ang'aniwa 2030

    Magufuli aliwahi kutengeneza wajinga fulani akina Juma Nkamia wakaanza kujipendekeza kupeleka hoja hizo bungeni.... Na kwa taarifa bunge lilikuwa linaenda kubariki upuuzi huo.... Lakini kumbe Mungu akaingilia kati..... sasa kuna wajinga wameshaanza kufanya mambo haya kwa Mama Samia... Huyu mama...
  6. Black Mirror

    JamiiForums Tanzania Watumishi wa TRA Wanaoomba Rushwa—Uzoefu Wako Ukoje? Tuwafichue hapa

    Mkuu kuna jambo hujaliweka sawa, kama huyo jamaa mambo haya anayafanya kweli na anaumiza watu, Usitegemee waliomtaja hadharani kama watadhurika kwa lolote kamwe hakuna kitu kama hicho, lakini kama wanamsingizia basi yatawarudia
  7. Black Mirror

    JamiiForums Tanzania Japo bado siamini, hadi itolewe na taarifa ya Ikulu, ila kama ni kweli, basi VP tumpe mkwe ili 2030 awe na VP wake yule binti yetu, 2040 binti apokee

    Ww ni miongoni mwa watu waliochangia taifa kulifikisha hapa. Inauma sana
  8. Black Mirror

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mhadhiri wa UDOM akamatwa na Polisi baada ya kurekodiwa akijadili maandamano ya Disemba 9 darasani

    TISS ya taifa letu ni ya ajabu sana, badala wafanya ujasusi wa kiuchumi, washughulike na ujasusi wa kibiashara, teknolojia, ufugaji nk wao kazi yao ni kufuatilia nani akaisema vibaya CCM!!!!!!!
  9. Black Mirror

    JamiiForums Tanzania Maagizo kutoka juu, yamfanya Mhadhiri UDOM kusota mahabusu

    Yaani umeongea vizuri sana. Mh Polepole enzi za Magufuli kipindi akina Tundulisu wanatunguliwa kwa risasi yeye alikuwa anawakebei Watanzania na kuwauliza kama wanayajua Magari ya V8... Zamu yake ilipowadia Kikamlamba vizuri....
  10. Black Mirror

    JamiiForums Tanzania Kwa Kauli Kama Hizi, Kiukweli Kabisa,Huyu Mtu, Atamsaidia sana Rais Samia,Taifa na Watanzania. Mnaonaje kama 2030 Twende Naye Kwa Utaratibu Ule Ule ?

    Pascal Mayalla, wewe ni miongoni mwa watu ambao taifa hili mmelifikisha hapa, Watanzania nyoyo zao zinavuja damu na jasho lenye uchungu kwa sababu ya tamaa zenu. Mwambie aliyekutuma kuwa Watanzania wamechoka.
  11. Black Mirror

    JamiiForums Tanzania HOJA Nini kinazuia huduma za Vyama vya Wafanyakazi kuunganishwa kwenye mfumo wa ESS?

    Hawawezi kuruhusu kitu kama hicho, kama wangeruhusu CWT haiwezi kubaki na mwanachama hata mmoja. CWT NA serikali ni Damudamu
  12. Black Mirror

    JamiiForums Tanzania Mtu kipenyo, anaona ufahari kuua watu! Watanganyika wenzake

    Mkimjua kuwa kazi yake ni kuua watu sasa mnamuacha wa kazi gani?
  13. Black Mirror

    JamiiForums Tanzania KERO Mfumo wa PEPMIS umechangia Watumishi 370 wa Halmashauri ya Jiji la Dar tusipandishwe daraja

    Ki msingi inaumiza sana kuona mtu anakwama kwenye mambo ya msingi km haya kwa uzembe tu wa supervisor. Kila wiki napandisha kazi kwenye mfumo na nikishapandisha namfuata Supervisor apitishe kazi zangu, hajafanya hivyo huwa siwezi kuendelea na chochote hadi kazi yangu ipitishwe. Majira ya fainal...
Back
Top Bottom