Recent content by Black Lady

  1. B

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI, tuambieni kinachoendelea kwa sisi tuliokosa ajira za ualimu.

    hata mimi nashangaaa labda wanasubiri watu wao wakaone mazingira wasipo yapenda ndo tupangiwe watoto wa wakulima, ambao pa1 na kutucheleweshea kutangaza ajira. wameweka pending majina yetu.
  2. B

    JamiiForums Tanzania Tanzia: Mkuu wa Mkoa wa Mara aanguka ghafla na kufariki dunia!

    so sad. r.ip tuppa
  3. B

    JamiiForums Tanzania Kuharibika kwa Mimba: Fahamu Sababu, Kinga na Tiba za tatizo hili

    mama mjamzito anapotumia zambarau matunda kwa wingi kunafaida yoyote
  4. B

    JamiiForums Tanzania Yupo wapi Mtangazaji huyu?

    alikua tbc 1 na wapo redio HOE
  5. B

    JamiiForums Tanzania Yupo wapi Mtangazaji huyu?

    kweli mkuu waliweza kuchambua michezo kwa kina.
  6. B

    JamiiForums Tanzania Yupo wapi Mtangazaji huyu?

    Nauliza tu. Joseph Msami, yupo wapi huyu mtangazaji siku hizi.
  7. B

    JamiiForums Tanzania Hivi sauti ya mwanaume nayo ni kigezo cha kupendwa na mwanamke?

    hafu aongeee kwa mpangilio mweeee achact
  8. B

    JamiiForums Tanzania Hivi sauti ya mwanaume nayo ni kigezo cha kupendwa na mwanamke?

    Jamani mwanaume akiwa na saut zito ananoga. ushaisikia ya Hasheem Thabit mwee
  9. B

    JamiiForums Tanzania Unamkumbuka Amrish puri?

    mkuu ukipata jina ni pm naitamani sana kuichek
  10. B

    JamiiForums Tanzania Mnazionaje huduma za Azam tv?

    uwiii ngoja nitupilie mbali hii startimes. kwa moro napata wapi kingamuzi cha azam tv wakuu
  11. B

    JamiiForums Tanzania Nikikupa Nokia E72 na elfu 30. we utanipa simu gani.

    nakupa galaxy note1
  12. B

    JamiiForums Tanzania Dr. Magufuli awahi kukwamua magari yaliyoteketea kwa moto Mikese, Morogoro

    namkubali sana Dr Pombe
  13. B

    JamiiForums Tanzania naombeni ushauri

    mlikua na urafiki gn fafanua kdg tukushauri
  14. B

    JamiiForums Tanzania Zifahamu dalili zinazoashiria mwanamke ni mjamzito

    Asanteni kwa ushauri wapendwa. Mbarikiwe sn
  15. B

    JamiiForums Tanzania Zifahamu dalili zinazoashiria mwanamke ni mjamzito

    Habari ndugu zangu. Ninaomba kujuzwa. Nina ujauzito wa mwezi mmoja kuna wakati kitovu kinauma na jana wakati naoga ktk harakati zavkujiswafi nimeona dalili za damu kidogo na sometimes nafeel km nataka kuingia Mp. Je, hii ni sawa? Thanx in advance.
Back
Top Bottom