ebu fuata link hiyo hapo chini kujua watanzania wanaelewa vipi kuhusu swala la kutoa na kupokea rushwa. kuna watu wanauliza maswali ya ajabu mmnooo...
VIDEO: Askari wa Usalama Barabarani akichukua Rushwa - Juni 01, 2016
wana demokrasiaambayo inadefinition ya kwao wenyewe, na wanaendesha nchi kwa kutumia hiyohiyo maaana hakuna democrasia ya kweli kila mtu ana maana ya yakwake. so ya kwao ndio ya ukweli zaidi.
Ningependa kujua ni utaratibu upi unatumika kutibiwa Muhimbili hospital??
Je ni mpaka hospitali nyingine zishindwe ndio uende pale au unaweza kwenda mwenyewe moja kwa moja kwa ajili ya matibabu?
hao wanafunzi ni kweli walikuwa hawana qualification hahahaha sasa unafukuzwa gafla na ulikuwa unapata mkopo, then eti umekosa nauli ya kurudi kwenu, mwanafunzi hujui hata kuweka akiba??? mambo mengine bwana me naona warudi kwao tuu watulie kwanza wache fujo.
kwanza kabisa democrasia misingi yake hata hao walio anzisha wanaikosea sembuse sie tulio ikopy???
if its is african democracy then this is tanzania democracy under magufuri regime, we are wired differently let magufuri lead the nation bwanaa
asee utaratibu wa sasa usiwe na mchepuko ambaye ni shida angalia sehemu ambayo hata wewe mwenyewe ukitoa service poa unashaangaa unapewa wewe pesa instead ya wewe kutoa. ukiona unaombwa sana wewe stuka toka nduki, ukiona ume gandia hapo na sindano zimekuwa nyingi brother hilo ni jujuuuu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.