Taratibu za kwenda Muhimbili kutibiwa

black hummer

Member
May 31, 2016
12
3
Ningependa kujua ni utaratibu upi unatumika kutibiwa Muhimbili hospital??

Je ni mpaka hospitali nyingine zishindwe ndio uende pale au unaweza kwenda mwenyewe moja kwa moja kwa ajili ya matibabu?
 
MNH ni hospital ya taifa inamaana inabeba hospital zote za nchi, sasa huwezi toka ngazi ya chini mpaka juu wakati ugonjwa wako haukufika critical condition, yaani unataka kupima mkojo mchafu uende MNH wakati hospital ndogo zipo.
 
MNH ni hospital ya taifa inamaana inabeba hospital zote za nchi, sasa huwezi toka ngazi ya chini mpaka juu wakati ugonjwa wako haukufika clitical condition, yaani unataka kupima mkojo mchafu uende MNH wakati hospital ndogo zipo.
sasa nimeomba msaada kwa kuuliza swali ili kujua taratibu asee,,,,,,,,, we elekeza tuu nitashukuruu
 
Ningependa kujua ni utaratibu upi unatumika kutibiwa Muhimbili hospital??

Je ni mpaka hospitali nyingine zishindwe ndio uende pale au unaweza kwenda mwenyewe moja kwa moja kwa ajili ya matibabu?
Unaweza kwenda kutibia pasipo kupitia sehem nyingine ni pesa yako tu
 
MNH ni hospital ya taifa inamaana inabeba hospital zote za nchi, sasa huwezi toka ngazi ya chini mpaka juu wakati ugonjwa wako haukufika clitical condition, yaani unataka kupima mkojo mchafu uende MNH wakati hospital ndogo zipo.
Mkuu hapo wana kitu wanaita ippm so ni pesa yako tu utatibiwa
 
Back
Top Bottom