Recent content by black fish

  1. black fish

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Nitaheshimu ukomo wa miaka 10 ya Urais kulingana na Katiba ya Tanzania

    Kama anaikumbuka katiba na aliapa kuiteteana kuilinda mbona anafanya mengine ambayo anaikiuka hiyo katiba [ mfn KUZUIA MIKUTANO YA KISIASA KWA WAPINZANI ] Sent using Jamii Forums mobile app
  2. black fish

    JamiiForums Tanzania Wa mwisho ndiyo mshindi

    Dubai imekuwa ndio nchi ya watu wasiotaka usumbufu wa mkulu,,kama alivofanya Mohmedi Dewiji
  3. black fish

    JamiiForums Tanzania Wa mwisho ndiyo mshindi

    Sana sana tunaambulia mashimo ambayo hayana tija yeyote
  4. black fish

    JamiiForums Tanzania Wa mwisho ndiyo mshindi

    Madini yanachimbwa watanzania hatuijui faida
  5. black fish

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya ku-highlight sentensi au maneno kwa rangi humu JamiiForums

    bado tu hamjaweza wa jameni
  6. black fish

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya ku-highlight sentensi au maneno kwa rangi humu JamiiForums

    sawa ngoja nijaribu tena
  7. black fish

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya ku-highlight sentensi au maneno kwa rangi humu JamiiForums

    mjadala umeisha na jarada lishafungwa
  8. black fish

    JamiiForums Tanzania Mimi kama mtumishi wa umma naapa sitakuwa mzalendo tena kuanzia leo

    Wanzio walishastuka mapema na ndio maana unaona kwa vipindi vifupi wana majumba na magari ya kifahari,mzee unakumbuka kuchota maji wakati kisima kimekauka,CCM = chukua chako mapema [emoji383][emoji383][emoji125][emoji125]
Back
Top Bottom