Target sio wewe mkuu ni watu kutoka Moscow kuja kufanya biashara na utalii..... Hukuona mazungumzo baina marais wawili Putin na Samia walichokubaliana ndo hiki matekelezo na matokeo yake. Aibu utaona wewe
Habari wana bodi,
Husika na kichwa cha habari hapo juu,
Jana tar 02/09, Rais Samia alipokua anawaapisha wakuu wa mikoa wateule pale katika ikulu Ndogo ya Tunguu Zanzibar alizungumza mengi pamoja na kuwasihi wakuu wa mikoa wapya kufanya kazi kwa bidii na kuwatumikia wananchi.
Pamoja na mengi...
Bibilia Takatifu inasema " Mjikusanyapo zaidi ya watu wawili bhasi na Mungu anakua kati yenu au anajiungamanisha na nyie". Sasa Baraza la maaskofu walijikusanya wakaa wakaandika waraka wakauita "Tafakari ya Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) Juu ya Yaliyotokea Siku na Baada ya...
Ile kazi ya Jeshi ishapatikana.
Tuma laki tano tu ili niwape makamanda wakupangie kituo cha kazi. Yaani wewe huwendi kusota kabisa ni moja kwa moja unaanza kazi bila mafunzo yoyoye maana vyeti vyako ni vizuri sana, Kombati utazifata kwangu pamoja buti na mkanda. nimeongea na huyu kamanda hapa...
Watu eheee eheeee. “Tunataka katiba mpyaa, katiba mpyaa. Ukiwauliza unataka sehem gan ya katiba ibadilishwe hajui… ohoo si tunataka katiba mpyaa. Ukimuuliza kwanini katiba mpyaa ohooo ile ya zamani haifai”
Habari,
Uzalendo ni nini?
Uzalendo ni hali ya mtu kuipenda ,kuithamini, kujitolea kwa hali na mali na hata kufa kwa aajili ya nchi yake.
Ukirudi mashule kuna masomo kama uraia na mengineyo lakin ukiangalia mitaala sana inasimulia zaid historia ya nchi na matukio yaliojitokeza sambamba na tawala...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.