Kwa hiyo kesho ndio tunaokoa watu au tunaenda kuvua maiti? Karne ya 21 tunashindwa kufanya uokoaji usiku na mchana kisa taa tu? That's a big joke! Sasa kama kivuko kingezama usiku tungesubiri mpaka asubuhi? Sometimes hawa viongozi wawe serious..mbona katika mbio za mwenge mnaweka taa na...
Nadhani mleta Uzi hajapinga Bali ni upeo wako mdogo ndio umetafsiri hivyo..suala LA msingi nni je taasisi husika imeshahakikisha kwamba watanzania wote wana vitambulisho? Dont be nonsense kwa kukurupuka tu kujibu kwa sababu ya mahaba..angalia na uhalisia wa hilo jambo
Aliyetukana sio kikula ni prof mlacha ambaye alikuwa DVC finance and planning..na kwa taarifa yako idris kikula alikuwa hata kuonekana ni adimu..kwa hiyo acha kumsingizia hizo sifa mbaya.
Wakati mkiendelea kulumbana na kubatiza madaraja majina ya ukoo wenu, sisi tumezindua viwanda vya magari na ifikapo 2020 Rwanda will be the IT center of Africa.
Bwana kamishna kuna mambo mengine unatudanganya. Unga bado haujawa ghali kiasi hicho, proof ni mateja ambao wapo bus stops ni wengi na kipato chao ni kidogo.
kuhusu rushwa uliyokataa kwa nini usingemuwekea mtego wa takukuru ili awe na kesi nyingine ya kutoa rushwa. Mbona mnapenda kutafuta kiki...
Naomba vyombo vya dola vianze na kuwahoji hawa mashehe ili waweze kujua ni wakina nani wanahohusika na utekaji!
Kwa nini watu wakitekwa wakirudi hawataki kusema chochote? Wanapewa nini uko?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.