Recent content by Bizoo1

  1. B

    JamiiForums Tanzania Naumia saana na hii hali nayoishi

    Kibongo bongo familia itakusema sana ukifata dini ya mwanamke.Pambana umjaze kwanza
  2. B

    JamiiForums Tanzania Wanaume wa karne hii mmekumbwa na nini?

    Mkuu getle umea We ulikuwa unalea
  3. B

    JamiiForums Tanzania Huyu ndo mwanamke romantic, tofauti na hapo dada unajidanganya

    Mkuu mbona unaonekana umekata tamaa
  4. B

    JamiiForums Tanzania Nilitembea na shemeji yangu mara moja ,sasa anamshawishi mdogo wake achepuke kwingine nae...

    Unakubalije mkeo apewe ma ushauri ya kiboya , Simama kiume nguruma kidogo hapo maskani. Mpige biti mkeo ukizubaa watakukalisha
  5. B

    JamiiForums Tanzania Ni Kama Naiona Barca Ishatinga Fainali Uefa

    Bora liver au spurs wabebe ndoo
  6. B

    JamiiForums Tanzania Mara nyingine maisha ya ndoa ni Vita. Huyu jamaa sijui nimfanyeje?

    Mkuu hiyo pesa fanya kama sadaka na mkeo ukikaa kizembe atakuuzia ndani ya nyumba . Jamaa akipiga mzigo atamkurupusha amchukulie mkopo take care.
  7. B

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Simpendi, sijui ilikuwaje nikafunga naye ndoa

    Sio wote
  8. B

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Simpendi, sijui ilikuwaje nikafunga naye ndoa

    Ingia fb mtafute huyu jamaa idd makengo anakitabu kinaitwa ndoa yangu hapo utapata tiba
  9. B

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Simpendi, sijui ilikuwaje nikafunga naye ndoa

    Mkuu inabidi ukiolewa uweke double deka kama bording
  10. B

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Nataka nioe Binti wa Kishua

    Mkuu kwanza umemkosea muumba kwa kujidharau.... kama ni wa kishua 6yrs ameshidwa kukumegea hata ka mtaji ??? Hao ni waganga njaa kama unampenda pambana umchukue hata kwa kumjaza kibendi....Maisha yanabadilika any time alafu kaza na huyo huyo .Usikubali kushidwa kirahisirahisi.
  11. B

    JamiiForums Tanzania Call ya house girl kwa mume wangu

    Mkuu pole sana anza kutafuta mwingine asiwe mkali kukuzidi mother house .Ukizubaa utajikuta umemletea muzee mke mdogo.
  12. B

    JamiiForums Tanzania Wanawake wenzangu, hapa Tanzania hakuna wanaume

    Mku pole kwa hao wavulana wa mtaani kwenu. Njoo chuga ujionee uwezi fanya kautafiti mtani kwenu ukatoa hukumu nchi nzima.
  13. B

    JamiiForums Tanzania Sina hisia na mwandani wangu

    Ndoa na kipindi cha urafiki ni vitu viwili tofauti kabisa .Mfundishe taratibu ataelewa ndio mana si tunapambana na hawa ambao umri ujapishana sana . Mlee taratibu atakomaa tu Sometime haya ma parfect couple ni kama bahati nasibu
  14. B

    JamiiForums Tanzania Mpenzi aliye "busy" siku zote

    Bado ujachelewa jipange upyaa na ukiacha acha kweli
  15. B

    JamiiForums Tanzania Mpenzi aliye "busy" siku zote

    Wanawake wenye moyo kama wako wamebaki wachache ,Piga chini huyo jamaa utashidwa kutimiza yale ya msingi wapo wanaume kibao utapata wa viwango vyako .
Back
Top Bottom