.Kwa sababu dhamana ya ulinzi na usalama wa Raiya upo chini ya WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA JAMHURI YA MUNGANO WA TZ. HATA WALIO MTESA ULIMBOKA NA KUBENEA HAWAJAKAMATWA. Au ww unaona damu ya Mfaransa inathani kubwa kuliko ya Muafrika anaeuwawa Tarime nasehemu nyingine za tz. Au huu uhalifu na...
sio dini ndio maana inachezewa kila kukicha kila aina ya uchafu .bila kukemewa tafauti na dini ya haki dini ya kweli ukijaribu kuichezea tu ujue umejitangazia kifo kama Suleiman Rushdi
Nafikiri umesahau kama suala la usalama wa raiya na mali zao pamoja na wageni wawe waislam na wakiristo na wadini nyingine na wasio na dini wanao kaa na wanaopita ktk Ardhi ya Jamhuri ya Mungano Wa Tanzania lipo mikononi mwa Wizara ya mambo ya Ndani ya Jamhuri ya Mungano wa Tz sio suala la SMZ...
Ww mwerevu tuambia huyo Muhamad unaemjua ww alie kuwa mwalimu wa dini ni Muhamad gani na alikuwa muwalimu wa dini gani? Niukweli uislam ndio dini ya haki na ndio dini pekee yenye sifa za kumpeleka mtu peponi bila ya kuwa muislam moto unakusubiri hata kama ni nani allah hana mfano hakuzaa wala...
Mpuuzi ni ww unae amini binaadamu mwnzako kama mungu.mungu gani anae pigwa mpaka aombe msaada kwa binaadam kama sio upuzi nini mungu anapigwa mungu anakunya mungu anazaliwa kabla mungu hajazaliwa mama yakecmungu aliumbwa na kupewa kila kitu na mungu gani na kabla mung mtt wa maria hajazaliwa...
Hayo ni mapungufu ya serikali ulio yataja na kuyaanisha mm naamini kila serikali za nchi tofauti zina changa moto zake na ndio maana tunapo badili viongozi na tawala kwa njia salama ya demokrasia ili kutatua changamoto zinazo kabili tawala kwa wakati huo. Naamini kama tulivyo yapatia majibu ya...
Ww huna hoja zaidi unaongea maneno ya kwenye Pombe sijaona hata la maana ktk maandishi yako. Jibu hoja acha manene ya kuambiawa una uzee gani ww wakunita mm kijana?
1;Alikuwa mdini mkubwa. Aliwatosa waislam wote walio anzisha harakati za uhuru. Na alitamka anaichukia znz.
2;Alikeme ukabila kwa mdomo tu vitendo vya kikabila.
3; Majimbo alikuwa nayo hakuijali kusini mpaka anaondoka kusini nikisiwa. Ilifika wakati mtumishi akihamishiwa kusini anaacha kazi.
4...
Ndugu yangu Funza Binaadam hukumbukwa kwa Mema na Mazuri yake baada ya kufa au akiwa hai hasa kama alikuwa kiongozi kama JKN.Na mara nyingi watu hupima mazuri na mabaya yake yapi mengi na zaidi watu hungalia mabaya zaidi ukizingatia ubaya husambaa zaidi kuliko mema.ukipima kwa matatizo ya...
Ww ndio unasema kama serikali ipo na ipo kwa ajili ya kubana wapinzani sio yeye. Yeye aliainisha kabisa kama serikali haipo na kama ipo basi ipo kwa kuibana CDM tu. Hapa tukubaliane.. na ufaham kama maadamano yana tayarishwa haiwi siri nijambo linalofahamika kama tarehe fulani kutakuwa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.