Recent content by BizEngeneur

  1. B

    JamiiForums Tanzania Kama huna mkono wa kufanya biashara za baa nakushauri usifanye

    Iko na quick returns lakini pia iko na quick failure.
  2. B

    JamiiForums Tanzania Msiba kwa wanaofanya biashara ya kuagiza vitu China

    Dah mkuu nashukuru umenifumbua macho nilikuwa nina mpango wa kununua kiwanja kupitia hivyo vikampuni ila sikuwa na uhakika kuhusu usalama wa hizo kampuni.
  3. B

    JamiiForums Tanzania Huyu bidada ni mpuuzi, anastahili adhabu gani?

    Thread closed
  4. B

    JamiiForums Tanzania Fixed deposit kwa sasa hazina faida tena

    Watu wa benki wakati mwingine huwa hawaeleweki. Ukienda mwenye nyumba wanakwambia wanataka uwe na duka,akienda mtu mwenye duka anaambiwa tunataka mwenye mali isiyohamishika nyumba au kiwanja,na akienda mwenye vyote hivi ataambiwa tunataka mtu aliyeajiriwa na kampuni ndio mdhamini...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Post za matangazo ya engineering jobs

    Halafu kitu kingine mnachofeli vijana usingoje connection ikufuate nyumbani au mtu akushike mkono,connection inalazimishwa kwa efforts zako mwenyewe. Okay any way jiunge na group langu la telegram humo utakutana na posts mbalimbali za kazi,ushauri kuhusu utafutaji wa kazi,kufanya...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Post za matangazo ya engineering jobs

    Kwa nini sio valid. Mimi nakupa ushauri wa maisha ambayo nimeyapitia achana na motivational speakers niko na experience ya 10 years kwenye Engineering field. Nimetembea kwenye kampuni za level zote nikianzia kwa wahindi baada ya kumaliza chuo,after 1 year nikarukia kampuni ya wazungu...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Post za matangazo ya engineering jobs

    Nimeshaachana na kuajiriwa nafanya biashara zangu binafsi
  8. B

    JamiiForums Tanzania Chimbo la used spares za magari Dubai

    Mkuu watu wanakuuliza mtaji wako ni kiasi gani ili wakupe ushauri hausemi. Haya mimi niko Dubai nipe kazi nikufanyie,hakuna sababu ya wewe kuchoma nauli kuja Dubai.
  9. B

    JamiiForums Tanzania Maendeleo ya Ujenzi wa SGR Dar - Moro wafikia asilimia 77

    Hapana jamaa alikuwa na mahesabu ya mbali sana sema watu wake waliomzunguka walikuwa pretenders. So baada ya kufariki wakafurahi ili waendelee kupiga pesa za miradi. So hatuwezi kumlaumu marehemu sasa hivi wakati hayuko duniani tuwalaumu hawa waliopo sasa hivi wameshindwaje kuendeleza.
  10. B

    JamiiForums Tanzania Tuzungumzie fursa zilipo maeneo yetu, mikoani na wilayani ulipo

    Soko lake pa kuuzia hizo nguzo ni wapi? Kwa tathmini yako unadhani nguzo 100 zinaweza kuuzwa na kuisha baada ya muda gani?
  11. B

    JamiiForums Tanzania Zama za Kilimanjaro Express zimeisha

    Hata mimi nikienda Arusha huwa napanda haya mabus ya Esther,Extra luxury au Happy nation na silipagi zaidi ya 25k. Watu huwa wanadanganywa na majina tu kisha wanapigwa hela nyingi.
  12. B

    JamiiForums Tanzania Hatma ya maisha yangu ipo mikononi mwa kijana wa Buguruni

    You are very intelligent,I also guess so
  13. B

    JamiiForums Tanzania Travel Agent business: Usajili na Sheria zinazoihusu

    Kuna huu uzi unahusu masuala ya kufungua kampuni,ingia ukaulize maswali yako kuna wataalamu watakujibu. https://www.jamiiforums.com/index.php?threads/1360557/
  14. B

    JamiiForums Tanzania Biashara ya mahindi kwa mwaka 2022

    Nitamfikishia ujumbe ataufanyia kazi naona leo yuko bize,lakini kwa ushauri wangu binafsi kama kuna bidhaa umeipenda kwa jamaa na pesa yako imepungua usisite kumuweka wazi jamaa ni mtu muelewa sana namjua.
  15. B

    JamiiForums Tanzania Biashara ya mahindi kwa mwaka 2022

    Jamaa ana magroup ya whatsapp pia kwa wasiopenda telegram ngoja nimtafute then nitaiweka link hapa,vipi telegram unaiogopa kwa sababu gani mkuu?
Back
Top Bottom