Post za matangazo ya engineering jobs

Post za matangazo ya engineering jobs

Mkuu umeongea facts, linapokuja swala la ajira hususani kwa wahandisi linakuwa kizungumkuti , binafsi mimi mpaka leo mwaka wa pili tena sijabahatika kupata ajira yoyote hata kujishikiza licha ya kuwa degree ya uhandisi ujenzi (civil engineering).

Kama kutakuwa kuna mchongo wa uhakika mahala popote tusisite kupeana feedback.
Wakuu kuhusu fani za Engineering ukisubiria posts za serikalini utachelewa sana.
Anza kuomba kwenye kampuni za wahindi upate experience kwanza baada ya hapo fursa zitaanza kufunguka zenyewe na zitakufuata bila kutumia nguvu
 
kaka upo kampun gan utupe connection

Sent from my SM-G570F using JamiiForums mobile app
 
Haha ila mkuu ushauri wako mboni sio valid?
Kwa nini sio valid.
Mimi nakupa ushauri wa maisha ambayo nimeyapitia achana na motivational speakers niko na experience ya 10 years kwenye Engineering field.
Nimetembea kwenye kampuni za level zote nikianzia kwa wahindi baada ya kumaliza chuo,after 1 year nikarukia kampuni ya wazungu bongo,nikafanya 2 years nikarukia kampuni lingine la wazungu nikasepa nao nje ya nchi nikala nao maisha kwa miaka 2 yaani kukwea mwewe kwangu ilikuwa ni kama kupanda bajaji tu baadae nikarudi bongo lakini kumbuka hapo CV yangu ilipanda kiwango nikawa sitaki tena kampuni uchwara na mshahara ni 6 figures tu chini ya hapo sifanyi kazi nilipata confidence ya hali ya juu.
Kwa kifupi CV yangu ni ndefu mno ila muhtasari wake ndio huo.
Sasa kipindi hicho nilivyomaliza chuo ningesema nibweteke tu kusubiria ajira za serikali na kudharau kazi za wahindi nisingefika viwango hivi.
 
Halafu kitu kingine mnachofeli vijana usingoje connection ikufuate nyumbani au mtu akushike mkono,connection inalazimishwa kwa efforts zako mwenyewe.
Okay any way jiunge na group langu la telegram humo utakutana na posts mbalimbali za kazi,ushauri kuhusu utafutaji wa kazi,kufanya usahili,kuandika cv nk.
 
Tupe connection Hilo mi Nina shahada ya Electrical and Electronics na nasikia Australia currently kuna serious shortage ya skilled labour sema hii michongo ni connection Tu , ni connect na huyo jamaa basi au kama vipi drop contact yake hapa tumcheki Kwa WhatsApp au kama vipi drop contact yako hapa tukucheki whatsapp jomba
acha kutafuta connection bongo, chekecha uingie Australia kwanza.
 
Kwa nini sio valid.
Mimi nakupa ushauri wa maisha ambayo nimeyapitia achana na motivational speakers niko na experience ya 10 years kwenye Engineering field.
Nimetembea kwenye kampuni za level zote nikianzia kwa wahindi baada ya kumaliza chuo,after 1 year nikarukia kampuni ya wazungu bongo,nikafanya 2 years nikarukia kampuni lingine la wazungu nikasepa nao nje ya nchi nikala nao maisha kwa miaka 2 yaani kukwea mwewe kwangu ilikuwa ni kama kupanda bajaji tu baadae nikarudi bongo lakini kumbuka hapo CV yangu ilipanda kiwango nikawa sitaki tena kampuni uchwara na mshahara ni 6 figures tu chini ya hapo sifanyi kazi nilipata confidence ya hali ya juu.
Kwa kifupi CV yangu ni ndefu mno ila muhtasari wake ndio huo.
Sasa kipindi hicho nilivyomaliza chuo ningesema nibweteke tu kusubiria ajira za serikali na kudharau kazi za wahindi nisingefika viwango hivi.
kaka unadeal san ishu gn

Sent from my SM-G570F using JamiiForums mobile app
 
Ikitokea connection ya Water Resources Engineer tushituane wadau.
 
Back
Top Bottom