Huihui2
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 5,276
- 7,944
Ni ujinga sana kutaka mtu anayeitwa MPINZANI tena kikatiba aisifie Serikali. UPINZANI au OPPOSITION kazi Yao ni KU-OPPOSE. Yaani yupo bungeni na Uraiani KU-OPPOSE. Sasa mnatakaje MSIFIWE na OPOSER? Yaani katiba imempa haki ya kulipwa Mishahara na Posho kwa ku OPPOSE tu. Mkitaka asiwapinge FANYENI yote Yale YANAYOWAPASA kufanya.kuna watu wanahisi ukiwa mpinzani basi unatakiwa kupinga kila jambo kumbe sivyo kuna mambo ya mazuri unaweka tiki na kuna mambo ya hovyo unaweka x
Sent using Jamii Forums mobile app
Kazi ya ku OPPOSER itafanyaka kwa kutumia ANY available PLATFORM. Sasa wakati wa serikali zilizopita angalau wazee wa ku OPPOSE walikuwa wanatumia RADIOS kwa kununua airtime, wanatumia MAGAZETI kama ya Kubenea ya MwanaHALISI, wanatumia mikutano ya Hadhara n.k. Sasa hivi hizo platforms HAZIPO. Iliyopo na ambayo haina gharama ni MTANDAO. Unataka OPOSER afanyeje?
Na ukumbuke huyu mtu ANALIPWA Posho na Mishahara kwa kazi ya KUPINGA tu sasa akiwa msifiaji si Mishahara itaenda bure? Hivi hamjui kuwa bungeni Kuna kiongozi wa kambi ya KUPINGA? Hamjui kuwa kiongozi wa kambi ya KUPINGA anapewa Gari, mafuta na gharama zingine za kiutendaji ANALIPWA kwa KODI zetu? Kumbe KUPINGA PINGA ni KAZI na FANI ambayo ni HALALI kabisa?
Mwisho : NAOMBA SERIKALI ITENGENEZE MSWADA UWEKWE BUNGENI UJADILIWE NA UPITISHWE KWAMBA TANZANIA IWE NCHI YA CHAMA KIMOJA NA KUHARAMISHA KILA AINA YA UPINZANI.