Recent content by Biyani

  1. B

    JamiiForums Tanzania Kuna dalili kuna siku watanzania watashangilia kama Zimbabwe

    Wapinzani wa Tanzania jaman ni vichekesho saña.Kipindi cha Kikwete mlisema ,chama kinamfumia mikononi.Tukàsubir weee chamà kikachukuà dola.Mmeanza JPM mwisho 2020,lakini dalili zinaonyesha JPM mwisho 2025.Swali.Kwann mnapenda kuota?Kwañn mnàowachukia wakiwa CCM,wakija upinzàn wànakuwa viongoz...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Zitto: Tumekabidhi nchi kwa washamba na malimbukeni

    Zitto ndiye mshamba mkubwa.Maguful twende!Twende baba!!Nyoosha nchi!!
  3. B

    JamiiForums Tanzania Kukamatwa, kupigwa risasi Lissu: Chama cha Wanasheria Uingereza chamlima barua Rais Magufuli

    Tanzania kuna vituko jaman.Kwa hiyo chama cha wanasheria wa UK ni kubwa kuliko serikal yetu?Na tunaomba watukome.Sisi ni nchi huru hatutaki ujinga huo.
  4. B

    JamiiForums Tanzania Rasmi: Tundu Lissu tumempa heshima ya kutambulika kama 'Kaka wa Taifa'

    Yaan ,sikuizi humu vimejaa vitoto vinatoa ushuzi tupu.Hakuna cha maana.Mara albadir.Mara maombi.Mara kaka wa Taifa.
  5. B

    JamiiForums Tanzania Unataka uombewe wewe lakini hutaki wenzako waombewe Mzee huo Ubinafsi .

    Maombi yanafanyika katika nyumba za kuabudu.Na hata Rais magu anaenda huko.Sio mikusanyiko ya hovyo.
  6. B

    JamiiForums Tanzania Blogger Robert Alai(Kenya) amtaja RC Makonda kuhusika na Shambulio dhidi ya Tundu Lissu

    Jaman sisi ni watanzania .Wakenya wasitumie nafasi hiyo kutuchonganisha.Leo hii wakenya ndo wawe great thinkers eti wanajua ,nchi yetu ndani na nje?Huo ni uwongo na wivu kwa Rais wetu Dr magufur tukatae huo uchonganishi.Mbona wakati wa uchaguz wa Kenya yule jamaa wa IT aliuliwa lakin huyu...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Tigo sasa watapeli wateja vifurushi vya muda wa maongezi

    Kampuni ya TIGO sasa yatapeli wateja wake vifurushi:Kampuni ya Tigo sasa ,inajitegenezea kaburi ,la kutoweka katika huduma za simu nchini Tanzania baada ya kuanza utapeli kwa wateja wake.Kwa wiki hii tu,mm binafsi wamenitapeli jumla ya shs 2000.Hii ina maana kuwa kwa wateja million moja...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Kwa maoni haya ya Raia wa Afrika Kusini, bora Zuma asingetia mguu Tanzania

    Hayo ni maoni ya wazungu wachache wenye mtizamo hasi .Kama kweli ni rais halis wa south Africa hawezi kutoa comment za kipumbavu kama hizo.Hata Mandela marehemu nchi ya kwanza kutia mguu baada ya kutoka jela 1990 ni Tanzania
  9. B

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mzee Paul Sozigwa, aliyekuwa Mwandishi wa Habari wa Mwalimu Julius Nyerere afariki Dunia

    Tufafanulie alimpigiaje ,simu wakati miaka kulikuwa hakuna simu za mkononi?
  10. B

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe aomba RADHI baada ya kuandika ANAJUTA kuzaliwa TANZANIA

    ZITTO KABWE ,WAOMBE MSAMAHA WANAWAKE NA WASICHANA. Mbunge wa kigoma na mwenyekiti wa chama cha ACT wazalendo Zitto Kabwe ametoa maneno ambayo yanawadharirisha wanawake na kina Dada watanzania.Zitto ametoa maneno ya dharau kwa wanawake wawili wa chama cha chadema ambao walichaguliwa kuwa wabunge...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Sakata la Vyeti: Waziri Palamagamba Kabudi atajwa kuwasilisha vyeti pungufu

    List hiyo ni ya vyeti ambavyo ni incomplete. Sio fake.Mleta mada kakosea au hakuelewa heading. Ina maana kuna watu hawakupeleka vyeti vyao vyote,kwa sababu mbambali.Mfano alikuwa safarini etc.
  12. B

    JamiiForums Tanzania Sakata la Vyeti: Waziri Palamagamba Kabudi atajwa kuwasilisha vyeti pungufu

    Yaan kusoma heading na keelewa vizur inakushinda.?Je ,haukuelewa kichwa cha habar?Au umeamua kuwa mzushi?Je,kama tutakuwa na vijana watanzania kama ww tutafika?Mod ondoeni hii habar si kuweli.Au jaribun kuimodify.
  13. B

    JamiiForums Tanzania Moshi: Yaliyojiri Mei Mosi 2017, Rais Magufuli amwaga ajira Elfu 52, madaraja kupanda....

    Sherehe za May Mosi zimemalizika ,na kufana huko Kilimanjaro.Rais amesema kwa budget ya mwaka huu kutakuwa na annual increments ,Promotion kwa wafanyakazi na ajira mpya 52000.
  14. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya waanzisha chama cha siasa kiitwacho " CCM-Kenya"

    Maana yake ,ccm ina nguvu ,ni maarufu na inapendwa Africa mashariki na Africa kote.
  15. B

    JamiiForums Tanzania Kumbe uwaziri unanoga, Nape kielelezo

    Nape ananikumbusha ya Waziri Ezekiel Maige na Dr Rutengwe. Nape NNauye amepumzishwa kutoka kwenye uwaziri wa habari hivi karibun na Rais wetu Dr Magufuli baada ya kushindwa kufuata kanuni za utumishi. Lakini toka Nape atumbuliwe na Rais hajakaa sawa. Nape anaonekana kuchanganyikiwa kabisa...
Back
Top Bottom