Kenya waanzisha chama cha siasa kiitwacho " CCM-Kenya"

MeinKempf

JF-Expert Member
Jun 11, 2013
11,094
7,225
Nchini Kenya wameamua kuanzisha chama chao cha siasa kiitwacho CCM-Kenya (Chama cha Mashinani-Kenya) ambacho kinaongozwa na Mh. Isaac Ruto.

Na kimejipanga kushiriki uchaguzi mkuu Wa Kenya mwaka huu 2017.

Tupe maoni yako juu ya hiki chama cha CCM Kenya.
 
Nchini Kenya wameamua kuanzisha chama chao cha siasa kiitwacho CCM-Kenya (Chama cha Mashinani-Kenya) ambacho kinaongozwa na Mh. Isaac Ruto.

Na kimejipanga kushiriki uchaguzi mkuu Wa Kenya mwana huu 2017.

Huu ni upunguani!
 
HAhaaahaaa hiyo inaitwa usiempenda kaja!! Ngoja tusubiri huenda kitaanzishwa chama kingine kitaitwa CHADEMA-KENYA (Yaani chama cha Dekio makapeti)
Tafadhali chadema msinichacha wangwe mie bado mdogo sana Lakini sikai kimya
 
Chama Cha Mashinani=CCM. CCM ni kifupisho cha majina mengi sana inategemea kifupisho hicho kinahusika na jambo gani.
 
Nchini Kenya wameamua kuanzisha chama chao cha siasa kiitwacho CCM-Kenya (Chama cha Mashinani-Kenya) ambacho kinaongozwa na Mh. Isaac Ruto.

Na kimejipanga kushiriki uchaguzi mkuu Wa Kenya mwana huu 2017.
Tupe maoni yako juu ya hiki chama cha CCM Kenya.
Mbona sisi tuliiga KANU? Na je, Mandela mbona aliiga wimbo wetu wa Taifa? Kuazima ni rukhsa.
 
Back
Top Bottom