Recent content by BITEMO

  1. B

    Naomba kazi ya kufundisha mathematics huku nikisomea ualimu open university.

    mie kambi popote ,,mkoa wowote napiga kazi
  2. B

    Naomba kazi ya kufundisha mathematics huku nikisomea ualimu open university.

    habari... mie ni kijana niliyemaliza form six na.kufauru vizuri sijabahatka kusoma chuo kikuu kutokana na sababu za msingi zilizo nje ya uwezo wangu lakin nina kipaji cha kufundsha hesabu na kueleweka kwa haraka sana kuanzia darasa la nne nursery school mpaka kidato cha sita... Nipo tayari...
  3. B

    Pumba laini za mpunga au mahindi

    nipo ifakara saiv,,pumba hazipatikan
  4. B

    Pumba laini za mpunga au mahindi

    naomba mawasiliano ya Songea.
  5. B

    Wafanyabiashara wa pumba laini za mchele na mahindi Tanzania nzima

    habari wana JF. ningependa kushea idea mbalimbali na wauzaji wa Pumba laini za mchele au mahindi popote walipo Tanzania. Tujuzane bei mbalimbali za sehem husika. Nitashukuru zaidi kama tutaendelea kujuzana zaidi kupitia 0685733122 au 0658204496 ahsanteni.
  6. B

    Wafanyabiashara wa pumba laini za mahindi na mchele hii inawahusu

    Habari wana JF. Ningependa kushea idea mbalimbali na wauzaji wa Pumba laini za mchele au mahindi popote walipo Tanzania. Tujuzane bei mbalimbali za sehem husika. Nitashukuru zaidi kama tutaendelea kujuzana zaidi kupitia 0685733122 au 0658204496. Ahsanteni.
  7. B

    Pumba laini za mpunga au mahindi

    sema ulipo mie nitakufuata usiogope
  8. B

    Pumba laini za mpunga au mahindi

    naomba mawasiliano ya.Arusha kama ni kweli unamanisha
  9. B

    Pumba laini za mpunga au mahindi

    nanunua mkuu
  10. B

    Pumba laini za mpunga au mahindi

    popote tanzania ,,mwenye izo pumba anichek 0685733122
  11. B

    Soko la ndizi mzuzu dodoma.

    mwenye uelewa wa soko la ndiz mzuzu dodoma anichek 0685733122
  12. B

    Nahitaji Friji ndogo yenye friza kwa laki 1, mwisho laki 1.5, nipo Kimara Suka

    kama unauza nichek 0685733122
  13. B

    Umoja wa wanafunzi waliodisco vyuoni ambao hawana pesa ya kujiendeleza kielimu.

    hello Ladies and Gentlemen. natumai mko salama mnaendelea na shughuli zenu za hapa na pale.Kuna umoja wa wanafunzi ambao walidsco vyuoni au waliahirisha masomo kwa sababu za hapa na pale na hawana tena uwezo wa kulipa ada katika masomo ya shahada ya kwanza. kama umo ktk hii category au...
Back
Top Bottom