Msaada tafadhali
Nikitaka kupata details nilizojaza kwenye form ya NIDA nazipata wapi? Nilijaza form ya kuomba kitambulisho 2012, sasa nimeenda bank kugungua account wananitwanga maswali ili waweze kuverify details zangu kama zinafanana na za huko NIDA
Salam wakuu,
Mimi ni mdau wa misitu na utunzaji wa mazingira.
Nahitaji kupata wataalam wa kuandika business proposals za kuombea hela kwa wafadhili juu ya uendelezaji misitu na utunzaji wa mazingira
Na amejiweka hewani ili avuliwe nguo maana Mange hana pazia akiamua kumvua mtu nguo. Halafu huyu sheikh matendo yake yana ukakasi sana kama vile sio kiongozi mkubwa wa kiroho
Makubwa yatawapata. JPM hawataki!
Lissu, Bashe,Halima Bulembo, Zitto, Nape, Mwigulu Nchemba January Makamba,Lema, Msukuma, Mbowe,Ndugai. HUO UJUMBE ALIUTOA DAUDI BALALI HUKO TWITTER since April
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.