Recent content by Bishuu

  1. B

    Hivi Ali Kiba alistahili kuchukua tuzo 5 za KTMA?

    Yaonesha unaumia sana na hiyo mimba eeh?mpelekeee na wewe akaku...tie mxiuuuu.
  2. B

    Naomba kujua maana ya mtumbuizaji bora wa mwaka

    Jibu alitoe wapi? Mwenyewe anajishangaa kupata tuzo kwa kategori hii.
  3. B

    New Release Diamond ft Mr. Flavor

    Ni kibagiaaaaa kwa kweli,chezea Dangoteee.Tatizo nyotaaaaaaa.
  4. B

    Bifu kubwa kati ya Diamond na mbunifu mitindo wa Kimataifa toka Marekani

    Nakukubali sana Diamond we mkali bongo miaka 100
  5. B

    Diamond's fame and love in East Africa

    Dangoteeeeeeeee yaaan ni shi-shigdeeeeeer
  6. B

    Kumbe Ali Kiba aliomba msaada kwa Wema kumkabili Diamond! Wema atoboa

    Kula like mkuu,umeongee nadhan wamekosoma.Waache kulazimisha mambo.
  7. B

    Diamond atelekeza watoto wa shule

    Wamuachee jaman, yaaan kila cku wanatafuta kick kutoka kwa Diamond,tatizo nyotaaaaaaa!
  8. B

    Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

    Umenena mkuu,kwan kila wakilala,wakiamka,wakinywa maji,yaan kila wafanyalo bila kumtaja Diamond haviend.Anawatoaje jasho?
  9. B

    Vita dhidi ya Diamond ni kubwa kuliko tunavyofikiria

    Nimeipenda hii,huo ndio ukweli.
  10. B

    Wasemavyo watu huko Instagram kuhusu Diamond Platinumz

    Kosa lake kuwafunika wasanii wenzake;kwa mshiko,kwa kushine,kwa show za out,kupendwa sana,totoz kali,kuitwa Ikulu na Nyotaaaaaaa yaan Dai ni shideeeeeeer!
  11. B

    Vita dhidi ya Diamond ni kubwa kuliko tunavyofikiria

    Kwa vile Dangote hata ubaya nao,atazidi kushine na management yake Mungu ndio mpangaji yote.
  12. B

    Diamond named and honored as icon of the nation

    Hongera sana Diamond,juhudi zako za kuitangaza TZ zimekufikisha hapo.Endelea mbele kwa mbele.
  13. B

    Fahamu historia ya Diamond Platnumz juu ya maisha na muziki wake

    Diamond endelea kumpenda,kumjali na kumthamini sana mama yako Mungu yu pamoja nawe utazidi kushine tu.
  14. B

    Diamond kanukisha London, Historia imeachwa London

    Big up Diamond,utafika mbali sana b'se unashine kwa jitihada zako binafsi.hausafiriii nyota ya mtu.
  15. B

    Barnaba Nimekuheshimu

    Hongera sana Barnaba.
Back
Top Bottom