Recent content by Birds in bush

  1. B

    Majibu ya Serikali (Wizara ya Nishati na Madini) kuhusu ripoti ya PAC juu ya Tegeta Escrow Account

    Ndugu wanaJF. Hivi kuna ugumu gani kwa wabunge kupiga kura ya kutokuwa na imani na serikali au spika kama wanaona kuna dalili za kupigwa changa la moto? Wabunge acheni kulalamika na kufanya fujo kama kanuni zinawapa hiyo nafasi. Mkicheza mtamuacha mtoto wa mkulima anakula upepo na matamshi yake...
  2. B

    Wanawake na Urais Tanzania

    Naanzisha hii thread ili tupate maoni kati ya wanawake ambao wanaweza kuwa viongozi wa nchi kati ya Rose Migiro, Anna Makinda na Prof Tibaijuka. Je Rose Migiro anaweza kuwa Rais wa Tanzania hasa ikizingatiwa kuwa alikuwa naibu katibu mkuu wa UN pamoja na kwamba hakupewa nafasi ya kumaliza ngwe...
  3. B

    Nyerere alijisaliti na kuwasaliti watanzania

    Jamani Nyerere alishatangulia mbele ya haki, mimi nadhani tumwache apumzike zake wengine tusonge mbele. Kila kitu kina mwanzo na mwisho. Hata hawa wanaopita barabarani na gari kusimamishwa muda wataondoka. Kufa ni kila mtu. Mimi sidhani kutumia legacy za Nyerere tunaweza fika popote. Nyerere...
  4. B

    UKAWA niliwaambia mkutane mpige kura za HAPANA

    Kama ambavyo nilitoa ushauri wangu hapo nyuma kuwa ukawa walitakiwa waitishe mkutano wa dharura kwa ajili ya kupiga kura za hapana. Sasa kilichotokea wenzenu wametumia mwanya wa kura za siri kuwachakachua ! Kwa hesabu za sita wazanzibar waliotakiwa kupiga kura walikuwa ni 142 sasa hizo 154...
  5. B

    Ushauri kwa UKAWA, njia pekee ya kuitoa CCM madarakani

    Napenda kuwapa ushauri wa bure nyie viongozi wa ukawa la sivyo mtapigwa goli la kisigino. Kwa kuwa tayari kanuni za bunge la katiba zimebadilishwa ili kuruhusu wajumbe walioko nje ya ukumbi (ndani au nje ya nchi) kuna uwezekano baadhi ya wajumbe wakarubuniwa kwa njia yoyote ile. Sasa...
  6. B

    Mwigulu Nchemba akamata mhujumu uchumi, aokoa bilioni 7

    Ndugu wanajamii forum hatuna budi kumpongeza Mheshimwa Mwigulu Nchemba kwa kazi nzuri ya kukamata watu wanaokwepa kodi na kuikosesha serikali mapato. Jamani tuwe na utaratibu wa kupongeza pale mtu anapofanya jambo jema. Mimi nachukua nafasi hii kumpongeza Ndg Mwigulu Nchemba na ninaomba mawaziri...
  7. B

    Dr. Kitila Mkumbo awa Profesa

    Kama atakuwa amepandishwa atakuwa siyo professor bali ni associate professor. Utofautishe hivi vitu. Huwezi kutoka dr kuwa professor moja kwa moja. Kuna cheo hapo katikati ambacho nimekitaja hapo juu. Ukome kudanganya umma
  8. B

    Napinga ujengaji flyover Dar

    Huna maana wewe. Tulia unywe uji nyumbani. ACHA watu wazima wafanye kazi. Subiri serikali yako utayoikataza kujenga barabara za juu, kwa sasa umekwama
  9. B

    Ni Aibu kuwa na Waziri kama Membe Wizara ya Mambo ya Nje

    Jamani huyu Membe anatumwa na bosi wake, hayo maneno hayatoki kwake. Ila cha msing aelewe kwamba Israel ni Israel ana itabaki hivyo. Kichapo chao awaulize wapalestina, maana kwa technologia tu hata sisi wanaweza kututwanga wakiwa kwao!!1
  10. B

    Serikali imechelewa sana kuchukua hatua dhidi ya Balozi Uk

    Waswahili nyie hamuwawezi wazungu. Mna kitu gani cha kuwatishia?????? Huyo waziri alikuwa anapoteza muda wake tu. Kama bajeti ya serikali inategemea wao unategemea nini???? Waingereza mnawajua au mnawasikia????? Anayetaka kuwajua aende london halafu alinganishe na madampo ya dar es salaam ndo...
  11. B

    Serikali imechelewa sana kuchukua hatua dhidi ya Balozi Uk

    Waswahili nyie hamuwawezi wazungu. Mna kitu gani cha kuwatishia?????? Huyo waziri alikuwa anapoteza muda wake tu. Kama bajeti ya serikali inategemea wao unategemea nini???? Waingereza mnawajua au mnawasikia????? Anayetaka kuwajua aende london halafu alinganishe na madampo ya dar es salaam ndo...
  12. B

    Magufuli apangua hoja zote za Wabunge

    Sasa hapo ndo kapangua nini? Pamoja na hiyo unayosema kapangua, bado kuna tatizo la foleni mjni Dar es Salaam. Tufikie mahali watanzania tuache ushabiki maana siasa haitatufikisha popote. Magufuli kuna mazuri anafanya. Ila Tatizo la nchi yetu huwa hatufikirii miaka mia moja (100) ijayo. Kwa...
  13. B

    Mwigulu Nchemba: Hakuna tofauti ya hesabu kati ya mamlaka mbili (TRA na EWURA)

    Haya yatajulikana. Tuendelee kupeana taarifa wajameni
  14. B

    Harbinder Singh Sethi aliyenunua IPTL ni nani?

    Kama mnajua kunyea kwa bibi ndo hapo sasa. Hapo hakuna ujanja lazima wahusika wazirudishe hizo hela. Shida ya watanzania ni maskini halafu mnajifanya kuiba hela BOT wakati wazungu wakijitoa kuleta misaada yao wote mtakula nyasi hapa. Hongera serikali ya uingereza kwa hapo nawasifu, ila angalizo...
Back
Top Bottom