Kiongozi Kulalamika Wakati ana instruments zote za Kutekeleza inashangaza Sana, Kwahiyo apo anamuambia mchechu ndio aandae hio Plan au anatia Tu sound Kunogesha mjadala
Ni muhimu Mzee especially kama Umewahi kuwa sehemu ya Mchakato Fulani, Anaelewa kuwa kuwa keep too longer na wasaidizi ni very risk mana sifa kuu ya binadamu ni kushawishiwa
Mzee wetu alikuwa circled na watu shamba Fulani Ile inner circle watu amewatoa Vyuoni Uko aliamini academic excellence Yao itasaidia kumbe Bana Siasa na Umjini Vinaenda pamoja
Mwisho alikuja Kukimbia Magogoni na Ku operate kutokea Chato muda Huo Bundi Alisha Anza kunusa harufu ya mzoga
Ulega alipwaya Sana aisee, Wizara ni kama ilikuwa Kwenye Autopilot
masanja sasa ajitahidi Kuandika Papers vyema za kuseek fund mana Bila hela hamna Kitu anafanya
Tunamtakia kila laheri
Wakuu kwema Nimeona CRDB wamekuja na Kitu kinaitwa Kopa ngombe Ulipe maziwa ambacho kiko run na CRDB foundation, Millard ayo ameenda Kufanya Covering ya Hio promotion
Ajabu ni kuwa issue Hii Mkurugenzi mtendaji bwana Nsekela kainzia kwao kabisa Bukoba Huko.
Hongereni pia kwa ubunifu
Poleni Sana Mkuu, Hizi program nahsi bado sinakosesha Sana Fursa vijana ndio mana Mimi huwa nawashauri wadogo zangu Katika basic wafanye Major courses kama Electrical, mechanical au Civil then degree ya pili sasa ndio wafanye specialization kama Telecom, Biomedical, Highway, Mechtronics and so...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.