Kwa ajili ya kupunguza matumizi mabaya ya fedha tuache kununua magari kwa ajili ya viongozi na maofisa mbalimbali wa umma isipokuwa Rais, Makamu wake na Waziri Mkuu tu!
Wengine watumie ya binafsi ila walipwe "mileage allowances".
Hii itapunguza udalali wa manunuzi ya magari na matengenezo yake...
Kwa kuwa inadaiwa kwamba awamu zilizopita *ziliachia (ruksa)*, basi ni lazima baadhi ya viongozi kwenye hizo awamu waguswe vinginevyo itaonekana ni uzushi!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.