Ukiwa na Imani za kiuzinzi hata bao kumi utafika tu ili mradi mkomoeni ipite mm Nina wake wawili wa ndoa it's depend na muhusika alivyo Basi mmoja hufika moja Ila mwengine hata tatu mnaenda. So depends on type.
Habari zenu nataka kuungiwa umeme nimeletewa bili ya nguzo mbili2 hadi sasa sijalipa. Jee natakiwa nilipie nguzo kama ilivyoleta invoice.
Au nirudi nikalipie ile ya kawaida 175000/=
Na pia tanesco wametusimamishia nguzo muda mrefu yapata miezi mitatu 3 sasa hawajaunganisha waya kwenye kijiji...
Mashine sio gharama ya umeme unaweza pata nzuri na yenye chuma kigumu kwa mil2.5.
Pia waweza nicheki 0719392415.
Ninayo mpya nilinunua haijafanya kazi naweza nikakuuzia
Nina changamoto za mwishoni ili nianze kusupply hii product kwa maana mifuko iko bei viwandani min order viroba 5000 bado kuchapa logo. Barcode na tbs na website nadhani ili nianze rasmi.
Masoko yapo na ni mengi sana
Kuhusu clearing and forwarding ipo kampuni ambayo nitadeal nayo ni hawa cargo fargo na nakumbuka waliwahi kunipigia simu kwa kutaka maelekezo ya product yng ikoje packaging za ujazo gani.
Na hii ilitokana na wateja kama wa3 hivi kunipigia simu kutaka kujua bei zangu nikawatajia kwa mfuko.
Ila...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.