Recent content by bintimrembo

  1. B

    Let's makes a wonderfull couple

    Hi! Kabla ya yote, acha nijihami, msiniseme jaman na mm nina moyo Nahitaj mkaka mstaharabu, miaka 28- 35 tu, awe mkristo, mweusi, aishi Dar, au Dodoma awe na hofu na Mungu pia na kazi, Asanteni
  2. B

    Nahitaji mahusiano ya urafiki wa kimapenzi mpaka ndoa

    Hellow wapendwa! Heri ya pasaka, upweke sasa umetosha! Nahitaj mwanaume mwenye sifa zifuatazo 1.awe mkatoliki 2.awe anaishi dsm 3.awe anajishughulisha 4.umri 33-40 5.awe mweusi Sifa zangu, 1.umri miaka 29 2.kazi nimeajiriwa serikalin 3.nina shahada ya elimu 4.mnene kias N.b akubali kupima UKIMWI
  3. B

    Hasira zinaniharibia mahusiano

    Hongera yaan nakuonea raha
  4. B

    Hasira zinaniharibia mahusiano

    Hakuna shida, umenifanya nijione siko peke tunaohitaj kupona
  5. B

    Hasira zinaniharibia mahusiano

    Inawezekana ninachokosea pale napoficha udhaifu wangu kwakuogopa labda atanikimbia
  6. B

    Hasira zinaniharibia mahusiano

    Asante sana, umenisaidia nitajitahid
  7. B

    Hasira zinaniharibia mahusiano

    Nahitaj kujua namna gan nipambane
Back
Top Bottom