Recent content by Binti Rwehumbiza

  1. B

    JamiiForums Tanzania Monalisa apata presha mtoto wake aliye Ukraine kimasomo, vita ya Urusi yamvuruga mama mtu

    San Sana aisee watu wana hate mmmh
  2. B

    JamiiForums Tanzania Klabu bingwa Afrika: As vita club 0-1 Simba dimba la Stade de Martyrs 12/2/2021

    Hapana. Labda majina tu. Nayemjua ni Buberwa Rwehumbiza.
  3. B

    JamiiForums Tanzania Jinsi mapenzi ya mtoto wa Kizulu Durban South Africa yalivyotaka kunitoa roho

    La wanawake wa Dizonga kuwa na makalio nakubaliana nawe asilimia 100. Ni shidaaaaa! Wametuzidi wadada wa kibongo.
  4. B

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Nayauza mapazia ya kisasa yaliyotumika bei elfu 60

    Oh ni kweli. Ni futi 4.5 kwa futi 9. Ahsante kwa kukumbusha hilo.
  5. B

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Nayauza mapazia ya kisasa yaliyotumika bei elfu 60

    Habarini wapendwa. Nauza mapazia yangu ambayo kimsingi siyahitaji tena. Kuna piece 8 jumla. Pisi 4 zipo complete ina combination ya rangi tofauti nauza elfu 35, pisi 3 zipo rangi nyekundu tupu nauza elfu 25, na hii pisi nyingine ipo 1 naitoa kama nyongeza (inafaa kwa mlangoni). Ni mapazia futi...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Jerry Muro ni wa kutilia shaka sana ujio wake Dar | TAKUKURU Kuweni makini hapo

    Nimecheka sana 😂😂😂 watu wana maneno. Huyu Muro chizi kweli. Ila kwa kweli Manara na Muro ndiyo walikua wanaendana. Hawa akina Nugaz hamna mambo.
  7. B

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya kufundisha shule ngazi ya msingi

    Habari wakuu Niliwahi kupost humu tangazo la kutoa huduma ya tuition kwa wanafunzi wa ngazi ya msingi. Ninashukuru mwitikio ulikia mzuri na ninawashukuru wote waliojitokeza kunisaidia. Japo changamoto za kimaeneo ilikua ni kikwazo. Nimerudi tena kuomba nafasi tena kwa mwenye connection...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Ahukumiwa kifungo miaka 60 jela kwa kubaka na kumpa mimba mwanafunzi wa kidato cha kwanza

    😂😂😂😂😂 unazindua mradi au sio??? Umenivunja mbavu mkuu plus na avatar yako.
  9. B

    JamiiForums Tanzania Natafuta nafasi ya kufundisha English medium primary schools

    Mkuu ahsante sana. Ubarikiwe. Ngoja nijaribu bahati.
  10. B

    JamiiForums Tanzania Natafuta nafasi ya kufundisha English medium primary schools

    Habari wakuu Niliwahi kupost humu tangazo la kutoa huduma ya tuition kwa wanafunzi wa ngazi ya msingi. Ninashukuru mwitikio ulikia mzuri na ninawashukuru wote waliojitokeza kunisaidia. Japo changamoto za kimaeneo ilikua ni kikwazo. Nimerudi tena kuomba nafasi tena kwa mwenye connection...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Lucy na Seretse Khama: Hadithi ya mapenzi iliyoshangaza dunia

    Kumbe ndio maana Botwsana ipo ilivyo
Back
Top Bottom