Recent content by Binti mzuri

  1. B

    JamiiForums Tanzania Dawa ya mafua sugu

    Like page Instagram afyaborakwamtoto ️Au tembelea www.afyaborakwamtoto.com
  2. B

    JamiiForums Tanzania Msaada wenu wandugu: Dawa ya kusokota tumbo kwa mtoto mchanga wa mwezi mmoja

    Tembelea www.afyaborakwamtoto.com
  3. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Diamond Platnumz afunguka kuhusu tuzo za Killi Music Awards

    😄😜kaka dimond kawa may weather uyo kashashtukia mchezo ataklishwa ️sasa analea hadidhi za Alinacha
  4. B

    JamiiForums Tanzania Waislam tumefeli kwenye hili tu, tubadilike

    😄😄😄mtoa mada umeongea ukweli kichwa kikiwa debe kila kitu utabisha na maandamano juu ukiulizwa sababu zamsingi hawanajibu pls pls my bandugu rudini shule ,tuijenge nchi
  5. B

    JamiiForums Tanzania Ali Kiba Fans' Special Thread...

    Kwa Ali kiba anatatizo la kutokujitangaza kwa kutosha alikuwa na show YA Zanzibar unaona a anandika tu 'Sauti za busara' ️sasa mtu anaelewa NINI hapo andika kinachoeleweka tukutane Sauti za busara tarehe flan BAsi then anasijui ndio dharau au kujisikia hayupo Karibu n washabiki zake na...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Petitman Amuiga Diamond, Ajikakamua na Kumzawadia Mke wake Zawadi ya Gari Siku ya Kuzaliwa Kwake

    Hakuna kuiga hapo hayo ni mapenzi n Upendo
  7. B

    JamiiForums Tanzania Nisaidieni wadau: Pampas zimemtoa vipele mwanangu, nitumie dawa gani?

    Point SIO kuiga diaper imetengenezwa na material YA cotton ili kunyonya mkojo na kumwacha mkavu ,sasa nepi akishakojolea kunakuaachwa ukavu hapo,pili WENYEWE nepi inakuwa ngumu mtoto akikojolea ️kutokwa Kwenye nguo Ni rahisi na kwao wana winter ️sasa mtoto sindio ataumwa zaidi...
  8. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wewe ni mgonjwa wa Series? Pakua hapa buree bila kutumia Torrents Clients

    Mtafute Empire hutojutia kuiangalia
  9. B

    JamiiForums Tanzania Natafuta NGO ya kuvolunteer

    Dah tupo on the same page namimi ninashida sana na NGO ila kuwapata ngumu sana ,na hawatoi ushirikiano kabsa ,jaribu Kwenda dogo dogo center.
  10. B

    JamiiForums Tanzania Tatizo la masikio: Fahamu kuhusu sehemu za sikio, magonjwa, ushauri na tiba

    Olive oil ipashe moto then dondoshea matone ndani YA sikio
  11. B

    JamiiForums Tanzania Wataalamu nijibuni hapa

    Swala la calender gumu sana na ndio linalo Fanya wadada wengi kupata mimba wasizoplan
  12. B

    JamiiForums Tanzania Madhara ya kutumia mbolea ya kiwandani katika mazao ya shambani

    Chakula hakiwi fresh natural ndio mana ️kuna organic food na ndio Bei sana ,hutumika Na watoto wadogo ,wazee,Na watu wa kawaida wanao jali afya Zao
  13. B

    JamiiForums Tanzania Uandishi wa vitabu sheria zake zipoje? Nahitaji msada wenu tafadhali

    Nina taka kuandika kitabu cha mapishi YA WATOTO ila sijajua ,je nahitaji kukipeleka ️KWA wizara YA Afya ,Au dakatr akipitie au inakuwaje! Na vp wale wakukisahihi lugha lazima niwapelekee?naombeni mwongozo
Back
Top Bottom