Unaweza usipambane na wakakujerui hivyo hivyo, aisee mim nimezaliwa mara Moja na kufa ni mara Moja tu, siwezi kuwa muoga kwa kiwango hiki, haya mambo yalisha wai kutokea nchi flani nilikuepo na tulishirikiana ,mbona walikwisha ,ilaupuuzi wa watu wa Dar,utawagharim mno,
Yani mtaa mzima unavamiwa...