Habarini wana jamii,
Nisaidieni jamani. Tamgu nihamie nyumba moja hivi Tegeta nimekuwa naota ndoto za ajabu na kutisha. Pia sina amani kabisa hata nikiwa macho mchana mara mlango umejifunga, mara naitwa na hakuna mtu mara maji yanatoka chooni.
Karibuni kwa ushauri.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.