Recent content by binshab

  1. B

    JamiiForums Tanzania Dar: Mfanyabiashara Mohamed Dewji(Mo Dewji) atekwa na watu wasiojulikana maeneo ya Oysterbay

    Si naskia ameshapatikana au bado habari sio za kweli?
  2. B

    JamiiForums Tanzania Msemaji wa Simba: Tutafanya maamuzi sahihi bila pressure kwa maslahi ya Timu na Klabu

    Bora wote mjiuzulu na huyo mzungu wenu pia mondoke nae huyo kazi yake ni mieleka sio football mtuachie timu yetu
  3. B

    JamiiForums Tanzania Naomba taarifa fupi kutoka NIDA

    Yupo sawa anahitaji kitambulisho cha taifa ili akatoe passport mpya kuanzia sasa hutapata passport kama huna kitambulisho cha taifa
  4. B

    JamiiForums Tanzania Henry Kilewo na Joyce Kiria wafunga ndoa ya mfano wa kuigwa

    Nasubiri mwisho wa sinema hii ya kusisimua maana sinema za siku hizo staring anakufa
  5. B

    JamiiForums Tanzania Kutoka dimba la Taifa: Simba SC watakata! Wairarua Singida Utd goli 4 kwa nunge, wajikita kileleni kwa alama mbili zaidi

    Tusipochukua ndoo mwaka huu basi tutasubiri tena miaka 5 mingine
  6. B

    JamiiForums Tanzania Ushetani ndani ya binadamu: Waziri Mkuu Australia atimiza ahadi ya kuruhusu ndoa za jinsia moja

    Wajukuu zetu sijui kama watapona na huu ushetani
  7. B

    JamiiForums Tanzania The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

    Sikuhizi city wameshaxoea kufungwa halftime then kipindi cha pili ndio wanaanza kucheza mpira lkn kwa ss mashabiki watatupa presha tu. Ile system ya kuwawahi mapema ndio ilikuwa nzuri sio hii ya kusubiri ufungwe ndio uanze mecgi
  8. B

    JamiiForums Tanzania Omog abaki huko huko kanda ya Ziwa

    Kwani matokeo ya leo vipi? Simba kakung"utwa?
  9. B

    JamiiForums Tanzania Trump ashutumiwa

    Conflinct
  10. B

    JamiiForums Tanzania Trump ashutumiwa

    Hiyo inaitwa conflicy of interest
  11. B

    JamiiForums Tanzania Kama wewe timu azam fc pitia hapa.

    Leo tumeikamata vibaya kandambili haaa haaaa safi sana lambalamba
  12. B

    JamiiForums Tanzania Dawa za kuongeza urefu

    Unataka urefu saizi gani maana kuna vipimo tofauti kuanzia vya panya ,farasi,punda na mpaka vya tembo ni pochi lako tu mkuu
  13. B

    JamiiForums Tanzania Tangazo la sabuni inayomuosha muafrika kuwa mchina lazua taharuki kuhusu ubaguzi wa rangi

    Na kikubwa ni infiriority complex tu ndio inayo tusumbua
  14. B

    JamiiForums Tanzania Shujaa wangu wa Amani: Sheikh Hilary Kipozeo

    Huyu sio shekh ni mpenda mizigo tu
  15. B

    JamiiForums Tanzania Shujaa wangu wa Amani: Sheikh Hilary Kipozeo

    Huyu shekh nimemsikiliza mawaidha yake muda mrefu haya ku qoute aya wala hadith yeye na khabari za mizigo ya kibantu tu na wale wa kizungu yaani akimaanisha wembamba basi labda kwake itokee tu mm naona hapo hamna shekh ni mpenda mizigo tu
Back
Top Bottom