Recent content by Binas

  1. B

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Kwa mwalimu yeyote ambae yupo mkoa wa iringa anataka kwenda nzega tabora plz antafute mapema saana hapa 0764945594 au 0684768831 chap chap saana
  2. B

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Anaetaka kuja kilosa morogoro niende mufindi iringa anicheki chap chap
  3. B

    Kuuzwa kwa CD za maonyesho ya miaka 50 ya Tanganyika na jinsi JWTZ walivyokuwa wakifanya vitu vyao

    sioni tatiZo na naamini wanajeshi wa jwtz wanaakili nyingi kuliko wew ndiomaana wakaaamua kufanya hivo na unauhakika gani kwamba silaha ndio ziliishia pale?? unaweza ukanambia kwamba ulipita kambi ngapi za jeshi cku hyo unaona hakuna silaha kabisa kwa kudai kwamba silaha zimeenda kwenye...
  4. B

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Kwa wale hasa wanaotaka kurudi makwao, wew ntafute tu; idara sekondari: hii ni kama unataka kutoka mkoa wa iringa wilaya yeyote urudi kwenu tanga wilaya ya handeni, kama uko tayari fanya chap mawasiliano hayo hapo waweza cheki kwa hapa 0658586674 au kwa hapa hivi 0766717288
  5. B

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    habari!? kwa mwalimu yeyote anayeteka kuhama Kituo kwa kubadilishana kutoka wilaya ya HAI mkoani KILIMANJARO kwenda wilaya yeyote mkoani BUKOBA -->idara msingi amtafute huyu hapa chap 0765399219
  6. B

    Misemo inayoandikwa kwenye vyombo vya usafiri, we acha tu!

    Pata pesa watu wajue tabia yako
  7. B

    Eti ni kweli kwamba wahitimu wa UDSM ndo wanaharibu hii nchi

    Huo ni uvivu tu wa kufikiri ndiomaana umeshndwa kuhoji na kujua, kwanza wew umesoma au unasoma chuo gan maana nahis kwa upeo wako mdogo wa kufikiri unaonekana ulifeli kidato cha pili ukashndwa kuendelea ndiomaana unaongea pumba tu.
  8. B

    Bidhaa za kurudisha na kuboresha Heshima ya ndoa

    kweli kabisa hana lolote huyu jamaa zaidi tu ya ubabaishaji na nahsi anatafuta mademu ndomaana anataka tu apigiwe cm
  9. B

    Walimu wa shahada wanaajiriwa kulingana na asilimia za mkopo walizokuwa wakipata chuo

    huyo baba mdogo anafanya kazi gan hapo wizarani isije ikawa anafagia tu ofis au kupalilia maua tu ya hapo nje ndomaana anakosa muda wa kukaa na mwanae wakaongea vitu vya maana mpaka kufikia hatua ya kuongea vitu vya kipuuzi kama hivi na mwanae, au na yeye ni mzee wa magumashi nin?
  10. B

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    ni mwalimu sekondari na anataka kwenda sehemu moja kaz ya hizi dar, mbeya, morogoro au iringa
  11. B

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Jaman anatafutwa mwalimu wa kuja Arusha jiji tuwasiliane hapa 0764586674 kwa anaehitaji.
  12. B

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Anatafutwa wa kukuja Arusha jiji akitokea iringa mujini, mafinga mujini, morogoro mujini au mbeya jiji aliyetayari anicheki kwa hapa hivi >binasbeatus@gmail.com au hapa >0782586674 idara>sekondari
  13. B

    Nahitaji simu used ya kununua

    Nna nokia kitochi elfu thelathini haipungui!
  14. B

    Mtei: Zitto Hahitajiki ndani ya CHADEMA, Uamuzi wa Kamati Kuu ni wa Mwisho!

    Polen saana kwa kulewa sifa kidogo tu za wananchi!
Back
Top Bottom