Recent content by binamungu mariamu

  1. B

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya kidato cha sita 2017/2018

    Asante umenisaidia Post sent using JamiiForums mobile app
  2. B

    JamiiForums Tanzania Mchumba ninae taka kumuoa nimegundua anavuta bangi

    Ni suala dogo ndg km una convincing power unaweza kulitatua. Tumia uelewa wako mm naamini atabadilika. Tatizo lako nami nimepitia mke wangu alikuwa mnywa pombe kali, bangi na mkorofi ila sasa km kawaida na kaacha tabia zote baada ya kutumia maneno ya busara
  3. B

    JamiiForums Tanzania Don't Allow this! Kumwoa mwanamke aliyekuzidi urefu na elimu

    Katika maisha usiruhusu akili dogo kutawala akili kubwa. Usicheze na moyo wa mwanadamu una nguvu kubwa sana na mwenyezi mungu alifanya yake. Elimu au kimo cha mtu si kitu ktk love ukitaka mwanamke hasikuheshimu ni ww mwenyewe unaweza kuwa chanzo. Km ww ni mwanaume na unatoa maneno ya kashfa na...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Nauza maharage ya njano kwa jumla kg 1 = 1600

    Weka mawasiliano yako ndg, pili naomba ujifafanue una kilo ngapi au tani ngapi? Km utaweka namba nitakutafuta private
  5. B

    JamiiForums Tanzania Punyeto ni nini na nini madhara yake?

    Pole sana kwa hilo tatizo, ni kweli suala la punyeto ni tatizo kwa vijana walio wengi. Kwanza nakupongeza kwa kuamua kujieleza ni hatua nzuri ya kushinda huo mitihani. Moja usipende kukaa mwenyewe muda mwingi hasa kukaa mwenyewe chumbani, pili acha kuagalia mikanda ya x, picha za uchi, au...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Eti nimshike kote lakini kifuani `no`

    Pole sana. Hapo kuna mambo mengi yanayoweza kupelekea hilo tatizo moja ni mazoea, pili ni aibu, tatu yy anahisi ukimshika hiyo anadhani km unamtekenya, nne labda ni sehemu yenye sensitive sana na mwisho anaweza kuwa na mapepo toka zamani mapepo yamemcontroll nadhani hata tendo analichukia.
  7. B

    JamiiForums Tanzania Mdogo wangu aikosa ndoa kisa michirizi

    Mwambie ndugu yako kuwa huyo bwana hana upendo wa dhati alimtamani tu mkilazimisha mdogo wako atajuta maisha yake yote
  8. B

    JamiiForums Tanzania AMCHUMBIA ALIYEKOSEA NAMBA YA SIMU KWENDA KWAKE

    Mungu mkubwa
  9. B

    JamiiForums Tanzania Mke wangu hawataki ndugu zangu na anawaonesha chuki hadharani

    Amani ya mwanadamu ujengwa na vitu vitano utu, heshima, uadilifu huruma na upendo. Ndg yangu kuna mahali ulijikwa ila nisingependa kukutwisha lawama. Mwanaume ana uwezo wa kujenga ndoa bora au kujenga ndoa iliyokosa mambo matano niliyotaja hebu kaa chini na mkeo mahali tulivu tumia maneno ya...
  10. B

    JamiiForums Tanzania ARUSHA: Watu wawili wafariki kwa kuchomwa moto bila nyumba kuungua

    Ni jambo la kusikitisha sana kuona wanadamu tumekuwa na roho ya kinyama hivyo. Hata km umemfumania mke wako au mme si vema kuchukua maamzi ya kutoa uhai wa mtu. Hapo ni kupima km je anafaa kuendelea kuwa mke au mme maana ukiendekeza hasira mwisho wake ni mateso maisha yako yote
  11. B

    JamiiForums Tanzania Nilimkataza asimuoe, hakunisikia, Ila tangu amuoe, maisha yake yamekuwa duni kupita maelezo!

    Ndg usitoe hukumu moja kwa moja halo ni suala la ndani. Pia madenii sehemu ya maisha kwani hauwezi juu mipango yao pia usifikiri maendeleo ni Nyumba, gari au kutokuwa na madeni. Maendeleo ni dhana pana sana
Back
Top Bottom