Mzee hapa una-bore. Haya masuala ya kutazama Ramani yalitumika miaka hile ya zamani wakati tunatafuta identity ya utaifa.
Miaka ya sasa ni lazima tuachane na fantasy na kuangalia reality. Ujenzi wa dam una negative impacts kwa ecosystem.
jmushi1:
Yes, tunahitaji viongozi. Lakini mengi ya matatizo hayo ni attitudes zetu kama jamii.
Vijana wengi wa Tanzania wanapotumia technologies au viongozi wao wanapoagiza technologies wanafikiria kuwa umeshuka from outerspace. Lakini wagefikiri kuwa kuna watu wame-invest mawazo yao hili...
Salaam JF,
Kuna msemo hapa wa Waafrika Ndivyo Walivyo. Mtoa mada ametoa takwimu moja nzuri sana. Mojawapo ni kuonyesha kuwa ukiondoa South Afrika ambayo nayo ina matatizo ya umeme, nchi zilizobaki zina matatizo makubwa ya nguvu za umeme. Na vilevile ameonyesha kuwa Poland inazalisha umeme kwa...
Hili ni suala la collective responsibility. Wananchi nao wanatakiwa kupunguza uzazi. Na vilevile kuangalia matumizi ya NUKE. Lazima nchi iwe na source mbalimbali.
Mwanasiasa akienda WB, IMF na kwa Wahisani wengine, atasema ni mafanikio yake.
Juhudi kubwa alizofanya Nyerere ni ku-convice WB, IMF na Wahisani wengine kuwa yuko genuine kutumia pesa zao.
Mpaka sasa unatumia juhudi kubwa kutunishawishi kuwa ni juhudi za Nyerere zilizofikisha literacy...
Fundi Mchundo:
Siamini kinachosemwa hapa. Hila kuna kitu kimoja ambacho ata mimi nilikuwa nacho. Wengi tulisoma japokuwa vishule vidogo tunaamini kuwa mafanikio yetu yanatokana na NECHA zetu na tunasahau kuwa kuna watu waliojenga mazingira ya mafanikio yetu.
Wanafunzi wengi wamepita...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.