Hayo mengine Sina ujakikanyo but hili la mpingo kupatikana Tanzania pekee hapana sikweli...!
Mpingo unapatikana nchi tatu ktk Africa Tanzania Kenya na Msumbiji na unapatikana kwa wingi zaidi Mozambique
Subiri Ray Van Boy; tuombe msaada jamani wana jf hebu tujuzeni mkoa gani kwahapa Tanzania inapatikana kwawingi hii kitu bikira jamaa Ray Van boy anasema adimu kama fafafa
MKUNA NA MKUNWAJI MUONA RAHA NINAANIIII...! Hapa natakakujua anaejua faida ya Bikra ninani? Mtanisamehe coz wengine bado under ground halafu bidhaayenyewe this time imekua adimu hasa hapa jijini
Duuu....! Good story kwani Tanga ndio wapi janiiiiiii........!!! Hebu kama yupo mtt wakitanga anaenisikia plz plz naomba anitafute sharti langu nahitaji kuoa ilinikafaidi vizuri awe muislam mwenye rangi ya asili umri kuanzia 22 /30 awetayari kujishughusha nihayotu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.