Recent content by Bin Abdul

  1. Bin Abdul

    Dereva wa Lissu: Waliomshambulia Tundu Lissu, walitumia gari la Nissan Patrol T 932 AKN

    Usishangae info za hizo namba za gary zikakosekana..ukaambiwa mtandao umedukuliwa[emoji24]
  2. Bin Abdul

    Namna ya kutambua kazi ya wito wako

    Thats great ! Bigup
  3. Bin Abdul

    Taja Jina zuri Kwa mtoto

    Khayrat, Nayrat, Husna, Juma, Nayfat, Abdulrahman, Mauwa
  4. Bin Abdul

    Wanasheria wamgomea Tundu Lissu

    Kichwa cha habari na,vilivyomo ndani Tofauti...Pumzika mzee kama huna la kuongea.
  5. Bin Abdul

    Rais Magufuli apokea zawadi ya sanamu ya Bikira Maria Ikulu Dar

    Imesha andikwa kwenye post sanamu! Sasa wewe unauliza nini tena
  6. Bin Abdul

    Upinzani Tz ndio mafanikio ya rais Magufuli

    Ahsante ndugu.kweli nimekosea
  7. Bin Abdul

    Upinzani Tz ndio mafanikio ya rais Magufuli

    Ukikosa busara ya kumkosoa mtu bora unyamaze mana maneno utakayo tamka yote yanaonyesha picha ya tabia zako.
  8. Bin Abdul

    Upinzani Tz ndio mafanikio ya rais Magufuli

    Mko makini.UJUMBE HUU HAPA SI MAHALA PAKE.SAMAHANINI.
  9. Bin Abdul

    Sakata la Ndege iliyokamatwa Canada: Tundu Lissu akamatwa na Polisi kwa kumkashifu Rais. Anyimwa dhamana

    Watanzania tushazoea na ndio desturi yetu kuwa mtoto hawezi kubishana na baba wakati yu katika himaya ya baba yake,..Tusome alama za nyakati aisee......baba akikosea utumie njia gani kumkosoa?, Hebu nisaidieni kujibu
  10. Bin Abdul

    Mafanikio ya Rais Magufuli 2015 - 2021

    Kama kawaida, siku zote changamoto ndio mwanzo wa mafanikio, kiukweli hivi karibuni kumezuka mengi sana na kila mtu anaongea lake, wapo wanamlaumu Rais Magufuli na pia wapo wanao laumu upinzani kwa kile kinachoitwa kutoa siri za taifa, uchochezi na kadhalika. Binafsi mimi naona hizi ni...
Back
Top Bottom