Recent content by billionea alpha

 1. billionea alpha

  Natamani nikiolewa nimruhusu mume wangu aoe mke mwingine tuwe wawili

  Kwa kweli ,aina hii ya wanawake ni rare(nadra).
 2. billionea alpha

  Mchumba wangu ananipa masharti magumu ninapotaka kufanya naye mapenzi

  Nirudishe kwao ,shenzi amekuja kulala tuu hapo kwako huyo....
 3. billionea alpha

  Mapenzi ya shule: Nilipata mtoto nikiwa Sekondari

  Heshima kwa R , amenifunza utafutaji na uwajibikaji kwa mpenzio, hata yanapo haribika.
 4. billionea alpha

  Biashara ya Ngono jijini Dar inatisha, yazidi kunawiri

  Mzee pale ni shidah ,mpaka kule kwenye sheli ,ila ukiwa mgeni eneo lile utapigwa hela ndefu....
 5. billionea alpha

  Biashara ya Ngono jijini Dar inatisha, yazidi kunawiri

  Kuna lile group la JUICE ni shidah
 6. billionea alpha

  Google Camera: Camera bora zaidi kwenye simu yako

  ya Samsung galaxy s6,7 na 8?
 7. billionea alpha

  Zanzibar 2020 CCM yaibwaga ACT Wazalendo Jimbo la Konde Pemba

  Hahahahaha! Hivi awajifunzi tuu hawa watu, kuwa akuna haki huko kwenye chaguzi.
 8. billionea alpha

  Nimempa mimba mwanamke asiye mke wangu

  Ushauri gani tena mwamba? Lea tu mtoto wako.
 9. billionea alpha

  Wasanii wanafirisika kwa manunuzi ya kishamba kama Rolls Royce

  Masikini, ukute hata Ist hauna.
 10. billionea alpha

  #COVID19 Inasemekana kirusi cha COVID-19 aina ya Delta kimeingia Mwanza

  Dah!! Ume nikumbusha mbali ,hizi ndo alama za hesabu.
 11. billionea alpha

  Nimedhulumiwa MilionI 10, siku ya Tano sasa sijapata Usingizi

  kwa kweli ,kiume maisha lazima yaendelee.
Top Bottom