Recent content by BILLION

  1. B

    JamiiForums Tanzania Dr. Slaa: Uchaguzi CHADEMA utafanyika baada kuwa na chama imara

    Eti mtu wa aina hii ndio mnasema awe "The first lady"?! Over my dead body. Hivi kwa hizi pumba ulizoandika hapa una tarajia nani atakubaliana na wewe? Watu wanataka uchaguzi ufanyike kwa misingi ya demokrasia; wewe unasema eti mambo ya ndani ya CHADEMA tuwaachie wenyewe, eti cha msingi...
  2. B

    JamiiForums Tanzania CHADEMA bado mno Kupambana na CCM

    Mleta mada umeleta jambo la msingi sana hapa jukwaani. Ni kweli kwa Afrika, viongozi wa Tanzania wametekeleza demokrasia kwa kiwango kikubwa sana. Kwa hili tumapongeze. Jambo ambalo linafanywa na wapinzani hasa CHADEMA kwa kung'ang'ania madaraka eti kwa kisingizo kuwa chama hakijaimarika...
  3. B

    JamiiForums Tanzania CHADEMA ni nini na kipo kwa ajili ya nani?

    Safi sana kwa hatua uliyoamua kuichukua. Ni imani yangu wengi watafanya maamuzi kama yako ili kuilinda heshima ya jukwaa letu.
  4. B

    JamiiForums Tanzania Msaada:Jinsi ya kukalkuleti % za mkopo

    Chukua ada uliyolipiwa na bodi gawa kwa ada ya chuo ulicho chaguliwa, jibu lizidishe kwa asilimia 100. NB: Katika kujua asilimia uwa tuna-deal na ada tu. Boom na mengineyo una-neglect.
  5. B

    JamiiForums Tanzania Nataka kuahirisha mwaka wa masomo.

    Mkuu, ulikuwa KIU mwaka wa ngapi?
  6. B

    JamiiForums Tanzania Dr. Slaa At The Capital Hill For Bilateral Talks With Senate Committee !

    Mbona umeghafirika mkuu?, hoja yangu ni kama hizo ziara za ughaibuni hasa hii aliyoenda na mchumba wake kama ina faida kwa chama au lah! Kwa maana kama mambo yenyewe ndio hayo tunayo yaona akiwa anafanya huko basi mpaka sasa sijaona tija ya hii ziara zaidi ya kupoteza muda na pesa.
  7. B

    JamiiForums Tanzania Dr. Slaa At The Capital Hill For Bilateral Talks With Senate Committee !

    Hivi hizi ziara za Dr Slaa zina faida yoyote kwa chama chake CHADEMA au ni kupoteza muda na pesa za chama wakati chama hakinufaiki na lolote? Sioni kama kuna tija kwa mtu ambae sio kiongozi wa serikali ujipeleke kwenye bunge la marekani wakati chama chako ni pinzani na kinataka dola na wapiga...
  8. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nampenda lakini nahisi Sitamuweza!!

    Wewe mwanaume ndio leader wa game; huna haja ya kuwa na hofu just muweke chini mueleze hisia zako then akikubali kinacho fuata ni taratibu taratibu una mbadilisha mwenendo wake. Kama alikuwa hafanyi hiki na wewe unataka afanye, just unamfanyisha lakini mkiwa pamoja na baadae she'll get used...
  9. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mtoto wa kiume kama huna pesa na elimu wanawake classic/ wazuri wote utaishia kuwaita mashemeji...

    Hahaha... Preta na wewe ni kipenzi cha hayo mambo?!
  10. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mtoto wa kiume kama huna pesa na elimu wanawake classic/ wazuri wote utaishia kuwaita mashemeji...

    Labda kajinyima vyote.. kama hela huna jenga body tu kuna wanawake wanapenda muscles.
  11. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mtoto wa kiume kama huna pesa na elimu wanawake classic/ wazuri wote utaishia kuwaita mashemeji...

    Kaka ukweli umeubofya - mengi hapo ni sahihi na ndio hali halisi ya hapa Dsm. Kuna kundi ambalo nalo linavua chupi kweli watoto standard wa hapa mjini; kundi la watoto wa vibopa ambao wenda hawana kazi/wenda ni wanachuo, ila majina ya baba/mama zao yana wabeba kweli kwa watoto wakali.
  12. B

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Kwa waliokosa mkopo

    kumbukeni pia kufuatilia kwenye asasi mbalimbali; uwa wanasaidia sana kusomesha wanachuo.
  13. B

    JamiiForums Tanzania Majina ya Waliopata Mikopo ya Elimu ya Juu 2013/2014 HESLB yatoka, Billion 306 zatengwa

    Definately. Boom anapata na mambo mengine yote kasoro ada tu.
  14. B

    JamiiForums Tanzania Majina ya Waliopata Mikopo ya Elimu ya Juu 2013/2014 HESLB yatoka, Billion 306 zatengwa

    Huyu ni mfano wa wanafunzi wanaopata mkopo asilimia 0 (0%). Kigezo ni ada.
  15. B

    JamiiForums Tanzania Majina ya Waliopata Mikopo ya Elimu ya Juu 2013/2014 HESLB yatoka, Billion 306 zatengwa

    Mliopata mkopo hongereni kwani mnanikumbusha enzi hizo na mimi nilipokuwa nikila fedha ya bodi. Ila nichukue fursa hii kuwapa pole wale walioomba mkopo ila hawakufanikiwa kupata; nataka kuwatia moyo kuwa, kukosa mkopo sasa sio kukosa mkopo daima, unaweza ukapa kama ukiweka jitihada ya kufatilia...
Back
Top Bottom