Natumia outlander kwangu mimi tatizo ililo nalo haichanganyi upesi kama wewe ni mtu wa mbio nenda kwa subaru. Ila mantainance outla! Der vitu vyake ni cheap
Habarini, nimejiunga na forever living, na sasa ni manager, ila mda wa kufanya hizi biashara mm sina. Nlijiunga kwa ajili ya matumizi yangu tu. Ila naona kama kuna fursa ya kupiga hela. Natafuta mtu mwenye uzoefu na biashara ya networking.
Nimenunua outlander 2450cc afu mafuta yamepanda, naona mzigo, nlikiwa natumia passo 990cc na kila week nlikuwa nasafiri 500 to 600 km sasa hili dubwasha mhhj. Watu walikuwa wananicheka nadrive gari sio ya hadhi yangu, nlinunua kuwanyamazisha sasa inanikomesha mafuta ila naitumia hivohivo
Kuna shida na earthing nyumbani kwako, angalia vizuri kwa kuita fundi. Kuna siku nliishi mbagala kongowe so usiku nikasikia jirani anakemea mapepo hakulala usiku kucha, kesho yake toka asubuhi hadi jioni anasali tu, na usiku tena anasali mda mrefu, ilienda kama siku 4 hivi ikabidi nimuulize...
Nlijribu kuch kula wali n ugali hata mwezi sikutobo nikavunja agano, sikujua kama vyakula hivi vina arosto, maana nlikuwa nikiuona natamani kuukumbatia
Wazee ogopa mungu na tekinolojia. Huyu dada alisema anatumia 200.il kwa siku, hajawahi kula ugali katika maisha yake. Watu sijui wamezoom wapi anagonga ulali na mdudu. Mnaojua location mtuambie hapa wapi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.