Recent content by Billie

  1. Billie

    JamiiForums Tanzania Naombeni mbinu za kumzidi kibiashara ya mpinzani wako

    Kumshinda mpinzani wako unatakiwa usishindane nae unatakiwa USHINDANE NA WEWE mwenyewe i mean improve ki huduma,bidhaa na kimbinu then automatically utakuwa ume mu win mpinzani wako
  2. Billie

    JamiiForums Tanzania Naombeni mbinu za kumzidi kibiashara ya mpinzani wako

    Kumshinda mpinzani wako unatakiwa usishindane nae unatakiwa USHINDANE NA WEWE mwenyewe i mean improve ki huduma,bidhaa na kimbinu then automatically utakuwa ume mu win mpinzani wako.
  3. Billie

    JamiiForums Tanzania Biharamulo: Kampeni, kura na matokeo!

    Habari ya 2009
  4. Billie

    JamiiForums Tanzania GE2025 Gwajima: Tundu Lissu ana maneno makali ila Hayati Rais Magufuli alimvumilia 2020 na akashinda uchaguzi

    Hivi Tundulisu alitakiwa kuuliwa awamu ipi? Sema tu Jamaa ana roho ya paka
  5. Billie

    JamiiForums Tanzania Mliofanikiwa kibiashara, mliwezaje kupambana na changamoto ya mtaji kukata/ kuisha?

    Tafuta vitabu vinavyofundisha nidhamu ya pesa
  6. Billie

    JamiiForums Tanzania Wasioamini katika dini tukutane hapa!!

    Dini,ushirikina,majini vyote ni matokeo ya watu dhaifu kifikra i mean wengi wao watumia hisia
  7. Billie

    JamiiForums Tanzania Uzoefu katika maisha

    Na sisi matajiri hatuwataki nyie masikini maana masikini hafadhiriki wala haaminiki. Masikin hana hoja ana HAJA na masikini ukimshibisha kwake ni kero na ukimuacha na njaa pia ni kero.ROHO YA MASIKINI INA MAOMBI MENGI SANA YA WATU WAPOROMOKE WAWE KAMA YEYE KULIKO MAOMBI YA YEYE KUNYANYUKA
  8. Billie

    JamiiForums Tanzania Gen 'Z' (Vijana wa 90s na 2000s) nawakumbusha maisha hayasimami "Fainali Uzeeni"

    We mwenyewe huja i like
  9. Billie

    JamiiForums Tanzania Tofauti kati ya Yesu na Nabii Issa

    Dini ni kifurushi cha ujinga kwa matahira
  10. Billie

    JamiiForums Tanzania Tumbo langu linaunguruma sana hadi nakosa amani, halafu nikienda haja sipati kitu

    Dalili ya vidonda vya tumbo au wale virus wa papiroma
  11. Billie

    JamiiForums Tanzania Kwanini Afrika sehemu kubwa haiendelei?

    RACE ya mtu mweusi ni ya kuonea huruma aisee upande wa kichwani Mungu aliweka ugali badala ya Ubongo ndoo maana mpaka leo Africa inahangaikia chakula
  12. Billie

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rafiki angu anaomba ushauri analipwa 1.5M, mchumba wake 4M anamwambia ndogo kwa matumizi ya mtoto wao?

    NDOA NI ANOTHER FORM OF SCAM
  13. Billie

    JamiiForums Tanzania RC Kihongosi: Watumishi wa Umma tusitengenezeane Ajali hizi Kazi ni za muda tu tunapita na kuziacha. Ila kuna maisha ya Kiroho baadae!

    Ye mwenyewe mshenzi tu si alipiga fimbo watumishi wenzie wa umma
  14. Billie

    JamiiForums Tanzania WHO wathibitisha pombe ni sumu. Sasa nina ujasiri wa kusema: "kunywa pombe bila kulewa ni dhambi."

    Vuta picha naisoma hii thread nikiwa bar
Back
Top Bottom