Recent content by bileduke

  1. bileduke

    JamiiForums Tanzania Mauaji ya Paris yalipangwa Syria

    Waziri mkuu wa Ufaransa, Manuel Valls, amesema polisi wamegundua kuwa mauaji yaliyotokea mjini Paris Ufaransa siku ya Ijumaa yalipangwa nchini Syria. Aidha Valls ameonya kuwa mashambulizi zaidi yanapangwa dhidi ya Ufaransa na mataifa mengine ya bara Ulaya. Waziri mkuu huyo anasena kuwa polisi...
  2. bileduke

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuhamisha data kutoka kwenye PC kwenda kwenye smartphone

    Nikiamisha music kitoka kweny PC kwenda kweny sm
  3. bileduke

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuhamisha data kutoka kwenye PC kwenda kwenye smartphone

    Natumia huawei y330
  4. bileduke

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuhamisha data kutoka kwenye PC kwenda kwenye smartphone

    Haiwez kuhamisha Bali PC window inaonesha na kutoa taarifa kuwa kitu ninachokopi hakiwezi kuplay au kufunguka
  5. bileduke

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuhamisha data kutoka kwenye PC kwenda kwenye smartphone

    hey great thinker mada kama inavyojieleza hapo juu. NATUMIA MOJA YA SMARTPHONE HUWA KUNA TATIZO LINATOKEA PALE NINAPOHITAJI KUCOPY MUSIC KWENDA KWENY ADROID ISIPOKUWA KWA IPHONE AMBAYO ITUNES NI SOFTWARE YAKE JE IP NI MBADALA YA ZINGNE PALE NINAPOTUMIA USB PORTABLE?
  6. bileduke

    JamiiForums Tanzania Sex huweza kutumika kama njia kufikia roho yako (sex is a gate way to your soul)

    Hiyo mikosi ndio pale aliposeama Apollo mm kwa uwelewa Wang hiyo bond its depend inakuja kwa njia gani.unajua kivip no HIVunaweza ukawa na mafanikio kwa kuwa na mahusiano ya kimapenz na mtu a halafu usiwe na mafanikia na mMTU b
  7. bileduke

    JamiiForums Tanzania Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Line ups for chelsea vs stock Begovic.baba.zouma.terry.ramirez.matic.pedro.hazard.willian.costa kick off
  8. bileduke

    JamiiForums Tanzania Majina ya Wabunge Viti Maalum hadharani: CCM-64, CHADEMA-36, CUF-10

    ‪#‎HABARI‬ WABUNGE VITI MAALUM CCM YAPATA 64, CHADEMA -36, NA CUF- 10 Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) leo imetangaza idadi ya wabunge wa viti maalumu ambao vyama vya CCM, CHADEMA na CUF vimepata baada ya kupata angalau asilimia 5 ya kura zote halali za wabunge nchi nzima...
  9. bileduke

    JamiiForums Tanzania Hii ndio nafasi iliyobakia kwa watanzania juu ya hatma ya nchi yao

    ‪#‎tanzania‬ Hii nchi yangu imeshaingia kuzimu sasa sir god anajibu. Asubuhi jua kali mvua inanyesha nikitafakari kwa kina napata maarifa kuwakuna chance bado kwa watanzania kuona umuhimu wa uwepo wao. Maoni juu ya katiba mpya hapa kuna watu wapo kwa madili na fursa...
  10. bileduke

    JamiiForums Tanzania Playstation 2 via usb

    Google huko kote nimepita ila bado
  11. bileduke

    JamiiForums Tanzania Playstation 2 via usb

    Hey people niaje pande hiz i'm coming ki hivyo yani, Nimekuwa natumia mda mrefu ps 2 games ila kutokana na tecknologia inavyokuwa nimekuja kufaham kuwa kuna matumizi ya usb flash kuhifadh games na kuzicheza katika ps2 Hivyo nimekuwa interesting kufaham hayo maujanja kama huna member ambaye...
  12. bileduke

    JamiiForums Tanzania Msaada: Jinsi ya kuibadilisha moderm ya Zantel itumie laini zote

    Thanks kaka kwahiyo hakuna jins yoyote wqla njia yoyote hile ya kuchange
  13. bileduke

    JamiiForums Tanzania Msaada: Jinsi ya kuibadilisha moderm ya Zantel itumie laini zote

    Wanajf nakuja kwenu na huawei ec 122 napenda iwe inatumia laini zote je ni jinsi gani natakiwa kuibadilishe.
  14. bileduke

    JamiiForums Tanzania my phone icon missing and contact in smartphone

    Nimejaribu kaka lakin tatizo likawa vilevile.
Back
Top Bottom